Recent posts
20 May 2024, 10:51
Viongozi wa machinga jiji la Mbeya waanza ziara katika masoko
Utekelezaji wa Maagizo ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suruhu Hassan kuwapatia wafanyabiashara wadogo maarufu kama Machinga vitambulisho maalumu waanza kutekelezaji. Na Ezra Mwilwa Umoja wa wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga jiji la Mbeya wakiongozwa…
20 May 2024, 10:38
Wahitimu wa vyuo tumieni fursa zinazojitokeza
Kufuatia soko la ajira linalo endelea hapa Nchini kuwa finyu wahitimu wanapaswa kutafuta njia mbadala wa kujiajiri. Na Ezra Mwilwa Wanafunzi wanaoelekea kuhitimu masomo ya vyuo wametakiwa kutumia fursa mbalimbali zinazojitokeza bila kujali tahasusi walizozisomea vyuoni. Wito huo umetolewa na…
19 May 2024, 09:09
Moravian Vwawa yaungana na wakristo duniani kuadhimisha sikukuu ya pentecost
Dunia leo kupitia imani ya kikristo inaadhimisha ibada ya Pentecost,siku ambayo inasifika kwa waumini kuvaa mavazi meupe. Na Hobokela Lwinga Kanisa la Moravian Tanzania limeungana na waumini wengine duniani kuadhimisha ibada ya siku ya pentecost. Pentecost kwa imani ya kikristo…
15 May 2024, 19:06
Waandishi wa habari Mbeya kuwezeshwa kuandika habari za uchaguzi
Tanzania inatarajia kuwa na uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 na moja ya tasnia inayotazamwa kutoa elimu ni vyombo vya habari kutokana na kuwa karibu na jamii. Na Hobokela Lwinga Ofisi ya mkuu wa mkoa wa…
11 May 2024, 12:47
Ng’ombe azaa ndama mwenye miguu mitano na jinsia mbili Mbeya
Katika hali ya kustahajabisha ng’ombe anamiguu minne lakini maajabu yametokea ndama kazaliwa akiwa na miguu mitano na jinsi zote mbili (jike na dume) Na Mwandishi wetu,Mbeya Ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni, ndivyo tunaweza kusema kufuatia tukio la kuzaliwa kwa…
11 May 2024, 11:12
Askofu mteule mch.Pangani,tambueni namna nzuri kuongoza waumini wenu
Wachungaji hao na wake zao wanapaswa kutoa ushirikiano kwenye jamii kutoana na mchango wao wa kusaidia kuwajenga watu kiimani hali hiyo inatajwa kuwa kichocheo cha amani na utilivu. Na Deusi Mellah Wachungaji kanisa la Moravian Jimbo la kusini Magaharibi wametakiwa…
11 May 2024, 10:52
Moravian chini ya Mission 21 yafanya tathmini ya miradi
Wafadhili wa Mission 21 katika kanisa la Moravian Tanzania wamekutana na jimbo la kusini magharibi na jimbo la kusini na wasimamizi wa miradi mbalimbali ili kufanya tathimini ya miradi iliyo pita kwa mwaka 2022-2024 na kupokea maoni ya miradi ujao…
6 May 2024, 18:08
Watu kadhaa wahofiwa kwa kufa ajali Mbeya
Watumiaji wa barabara wamekuwa wakisisitizwa kutii na kufuata sheria za barabarani ili kuepusha ajali zisizo za lazima sambamba na kukagua vyombo vyao kabla ya safari. Na Hobokela Lwinga Watu kadhaa wanahofia kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa katika ajali ya roli…
3 May 2024, 14:35
Ajiua kwa kujirusha kwenye tairi la fuso Mbeya
Maisha ya binadamu yanapopatwa na msongo wa mawazo yamekuwa yakisababisha wengine kuchukua maamzi magumu ya Kujiondoa uhai kwa baadhi ya watu wanaokuwa wanaukosa kutoka kwa watu wao wa karibu. Na Yuda Joseph Mtu mmoja ambaye jina lake halijafamika amefariki dunia…
3 May 2024, 09:58
26 watuhumiwa kutengeneza mfumo bandia wa ukusanyaji wa mapato Mbeya
Jamii imetakiwa kuwa mstari wa mbele kwa kutoa taarifa pindi wanapobaini uwepo wa mianya ya utoaji na upokeaji rushwa kwenye maeneo yao. Na Ezekiel Kamanga Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Mbeya imewakamata na kuwafikisha mahakamani…