Recent posts
3 June 2024, 11:53
Hatimaye mch.Robart Pangani awa askofu kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusi…
Kanisa la Moravian jimbo la kusini magharibi wakiongozwa na maaskofu wa kanisa hilo Tanzania wameshiriki Ibada ya kumuweka wakfu Askofu wa kanisa la Moravian Tanzania jimbo la kusini magharibi Mchungaji Robert Pangani. Na Ezra Mwilwa Wachungaji na wakristo wa kanisa…
1 June 2024, 07:15
Mbeya Dc kinara uzalishaji zao la Pareto nchini
Pareto ni zao la biashara linalotumika kutengenezea viuatilifu mbalimbali vya kuua wadudu wanao tambaa na kuruka. Na Hobokela Lwinga Mkuu wa wilaya ya Mbeya mhe.Beno Malisa amesema mnunuzi yeyote ambaye atakiuka miongozo katika katika kununua zao la pareto atachukuliwa sheria…
30 May 2024, 18:47
Mzazi atakaye ozesha mwanafunzi kufungwa jela miaka 30 Mbeya Dc
Wahenga wanasema elimu ni msingi wa maisha wengine wanasema elimu ni ukombozi, Halmashauri ya wilaya ya Mbeya imeweka mikakati madhubuti ya kuongeza kiwango cha ufaulu ambacho kitatokomeza ziro. Na Hobokela Lwinga Kata ya shizuvi halmashauri ya wilaya ya Mbeya imezindua…
27 May 2024, 20:20
MNEC Mwaselela apeleka kicheko kwa vijana Mbeya
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama Cha mapinduzi CCM Taifa Mnec, Ndele Mwaselela amesema kuwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan anajivunia vijana kuwa ndio nguvu kazi ya Taifa. Na Lukia Chasanika Mnec Mwaselela ameyasema hayo akiwa mgeni rasmi katika mahafari ya…
21 May 2024, 22:40
NEMC kuwafikia wachimbaji madini zaidi ya 300 Mbeya, Songwe
Sekta ya madini ni sekta nyeti katika kuliingizia taifa pato,katokana na hali hiyo serikali imeendelea kuwatengenezea mazingira rafiki wachimbaji sambamba na kutoa elimu ya mara mara ili kujiepusha na madhara wanayoweza kuyapata kutokana na kazi ya uchimbaji. Na Kelvin Lameck…
21 May 2024, 16:12
NSSF yawajengea uwezo wastaafu watarajiwa mkoani Mbeya
Katika kuhakikisha wafanyakazi kwenye taasisi zao wanapata haki zao,waajiri kulipa michango ya wafanyakazi wao kwa wakati ili kuwaondolea usumbufu pindi wanapostaafu. Na Ezekiel Kamanga Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Mbeya Emmanuel Kayuni amefungua mkutano wa Wastaafu Watarajiwa uliondaliwa na Shirika…
20 May 2024, 15:32
Wakristo washauriwa kuhudhuria mikutano ya injili
Wakristo wote ni vema kushiriki katika ibada za Pentekosti ili kukumbuka siku ya kuzaliwa kwa kanisa pamoja na ujazo wa Roho Mtakatifu. Na Rukia Chasanika Wakriso nchini wameshauriwa kuhudhuria katika mikutano ya pentekoste ili kujifunza neno la Mungu na kujazwa…
20 May 2024, 10:51
Viongozi wa machinga jiji la Mbeya waanza ziara katika masoko
Utekelezaji wa Maagizo ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suruhu Hassan kuwapatia wafanyabiashara wadogo maarufu kama Machinga vitambulisho maalumu waanza kutekelezaji. Na Ezra Mwilwa Umoja wa wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga jiji la Mbeya wakiongozwa…
20 May 2024, 10:38
Wahitimu wa vyuo tumieni fursa zinazojitokeza
Kufuatia soko la ajira linalo endelea hapa Nchini kuwa finyu wahitimu wanapaswa kutafuta njia mbadala wa kujiajiri. Na Ezra Mwilwa Wanafunzi wanaoelekea kuhitimu masomo ya vyuo wametakiwa kutumia fursa mbalimbali zinazojitokeza bila kujali tahasusi walizozisomea vyuoni. Wito huo umetolewa na…
19 May 2024, 09:09
Moravian Vwawa yaungana na wakristo duniani kuadhimisha sikukuu ya pentecost
Dunia leo kupitia imani ya kikristo inaadhimisha ibada ya Pentecost,siku ambayo inasifika kwa waumini kuvaa mavazi meupe. Na Hobokela Lwinga Kanisa la Moravian Tanzania limeungana na waumini wengine duniani kuadhimisha ibada ya siku ya pentecost. Pentecost kwa imani ya kikristo…