Recent posts
12 June 2024, 12:27
TARI nchini yawafikia wakuliwa migomba Busokelo,Mbeya
Zao la migomba ni zao la chakula na biashara ,katika nchi ya Tanzania ipo mikoa ambayo imekuwa na uzalishaji mwingi kupitia kilimo hicho ikiwemo mikoa ya Kagera eneo la Bukoba na Mbeya katika halmashauri ya wilaya ya Rungwe na Busokelo.…
12 June 2024, 11:56
Askofu Nguvumali wa Moravian,atangaza kustaafu September 2025
Kanisa la Moravian kupitia katiba za majimbo yake limekuwa utaratibu wa ukomo wa uongozi unaoendana na umri,hali hiyo inaleta mabadiliko ya Kiongozi kwani inatoa fursa ya kufanya uchaguzi upya wenye demokrasia. Na Hobokela Lwinga Askofu Kiongozi kanisa la Moravian Tanzania…
11 June 2024, 11:26
Askofu Pangani:lindeni amani ya kanisa na Taifa
Kila mwananchi anawajibu wa kuendelea kulinda taifa lake kwa kulinda amani, kuanzia katika ngazi ya familia Na Hobokela Lwinga Askofu wa kanisa la Moraviani Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi Mhashamu Robert Pangani amewataka wakristo wote kuilinda Amani ya kanisa na…
10 June 2024, 12:25
Kampuni ya ununuzi pareto yatoa mafunzo kuelekea msimu mpya wa ununuzi
Kampuni ya ununuzi wa zao la pareto Tanzania PCT imefanya kikao kazi na mawakala wake kuelekea msimu mpya wa uvunaji ambao unaanza july mosi 2024 ili kuweza kupata maua bora ya zao hilo. Kikao kazi hicho kilichoandaliwa na kampuni ya…
6 June 2024, 17:11
Ajali Mbeya, vifo vyaongezeka
Jiji la Mbeya likiwa bado kwenye majonzi makubwa ya kutokea ajali eneo la Mbembela huku wananchi na ndugu marehemu wakiendelea kuitambua miili ya wapendwa wao,taarifa inadai kuwa idadi ya vifo imeongezeka. Na Hobokela Lwinga Idadi ya vifo katika ajali iliyotokea…
6 June 2024, 15:27
TCRA kuwachukulia hatua wapandisha bei ya vocha kiholela
Wakati mtaani malalamiko yakiendelea kuwa mengi kuhusiana na kupanda kwa vocha wananchi wanapaswa kutoa taarifa kwa wahusika na wasimamizi wa mawasiliano nchini. Na Hobokela Lwinga Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini imewataka wauzaji wa vocha…
5 June 2024, 19:07
13 wafariki, 18 wajeruhiwa ajalini Mbeya
Huzuni imetanda jiji la Mbeya baada ya kutokea ajali ambayo imeondoa uhai wa watu. Na Hobokela Lwinga Watu 13 wamepoteza maisha na wengine 18 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu likiwamo lori, gari dogo na Coaster. Ajali hiyo imetokea leo…
5 June 2024, 18:40
Wazazi washauriwa kulima mazao lishe kwa watoto
Limeni mazao ya yenye kusaidia kujenga afya za watoto wenu katika kukuza uwezo mkubwa wa watoto. Na Lukia Chasanika Wazazi na walezi wameshauriwa kulima mazao lishe ili kuwasaidia watoto kupata virutubisho ambavyo vitawasaidia kukua kiakili na kimwili. Hayo yamesemwa na…
4 June 2024, 14:52
Wazazi zingatieni malezi bora ya watoto
Malezi bora ya mtoto ndiyo yanategemea zaidi uwepo wa maadili bora kwenye jamii na endapo jamii itakosa maadili bora kwa watoto basi jamii hiyo itakuwa na kizazi ambacho kitakuwa hakina maadili mazuri. Ivillah Mgala Wazazi wametakiwa kuwalea watoto katika maadili…
3 June 2024, 12:54
Serikali yaombwa kubadili mfumo wa udahili wanafunzi vyuo vya elimu ya juu
Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi limepata askofu mpya baada ya kustaafu kwa aliyekuwa askofu wa Jimbo hilo Dkt.Alinikisa Cheyo. Na Hobokela Lwinga Askofu mpya wa Kanisa la Moraviani Tanzania Jimbo la kusini magharibi Robert Pangani ameiomba serikali…