Recent posts
26 June 2024, 12:39
kambi ya SKAUT yafungwa Songwe
Kambi ya Vijana wa SKAUT ngazi ya Mkoa katika mkoa wa songwe imetoa matokeo chanya kwa vijana washiriki mkoni Songwe. Na mwandishi wetu,Songwe Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mhe. Ester Mahawe, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe.…
25 June 2024, 06:59
DC Songwe akemea wanaoendekeza ushirikina
Kutokana na changamoto za mmonyoko wa maadili ulimwenguni wakristo wameombwa kuendelea kuombea watu wanaojihusisha na vitendo vya kishirikina ikiwemo ubakaji watoto na ushoga. Na Ezra Mwilwa Mkuu wa wilaya ya Songwe Mhe. Solomon Itunda amemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Songwe…
24 June 2024, 18:12
Ken Gold FC kukamilishiwa ujenzi uwanja na halmashauri ya wilaya ya Chunya
Chunya imepania kukamilisha zoezi la ujenzi wa uwanja kabla ya kuanza msimu mpya wa ligi kuu Tanzania, yatenga Tsh.200 milioni. Na Ezekiel Kamanga Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tamim Kambona amesema Halmashauri yake imetenga shilingi milioni mia mbili…
24 June 2024, 17:53
Wakristo watakiwa kuwa na upendo
Umoja wa wakristo wa kanisa la Moravian Tanzania jimbo la kusini magharibi wameombwa kuwa na upendo baina yao katika kuitenda kazi ya Mungu. Na Lukia Chasanika Katibu mkuu wa kanisa la Moravian Tanzani Jimbo la Kusini Magharibi Israel Mwakilasa amewataka…
24 June 2024, 15:47
Wanawake watakiwa kupeana ujuzi kuyafikia malengo
Naibu waziri Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari mhandisi Maryprisca Winfred Mahundi amewataka wanawake wenye malengo ya kujiendeleza kiuchumi kutokuwa wabinafsi katika kupeana ujuzi na maarifa ya mafanikio waliopata na kutembea pamoja bila kuwekeana chuki na husuda kwa mafanikio ya mtu…
20 June 2024, 18:48
Kwaya kuu kanisa la Moravian jimbo la kusini magharibi wafanya ziara Uswiss
Baadhi ya Wanakwaya ya Wawakilishi Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi wakiwa nchi ya Uswiss Na Ezekiel Kamanga Makamu Mwenyekiti wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi Mchungaji Asulumenye Ever Mwahalende ameongoza Kwaya ya Jimbo katika…
20 June 2024, 15:21
Mbeya DC yanufaika na mabilioni ya fedha za Dkt. Rais samia
Shukrani ni sehemu ya kukubali matokeo ya jambo ambalo mtu au watu wanakuwa wamelipata,katika halmashauri ya Mbeya wananchi wameipongeza serikali kupitia ziara ya MNEC Ndele Mwaselela kwa kupeleka maendeleo kwenye maeneo yao. Na Hobokela Lwinga Serikali kupitia ilani ya chama…
18 June 2024, 21:17
Askari 49 wa zimamoto na uokoaji wavikwa nishani Mbeya
Jeshi la zimamoto kuongezewa vifaa vyautenda kazi katika bajeti ya Serikari ya awamu ya sita 2024/2025 kauli hiyo imetolewa na mkuu wa jeshi hilo Jenelali John Masunga mkoani Mbeya. Kamishina Jenelari wa Jeshi zimamoto na uokoaji John Masunga amemuwakilisha Rais…
12 June 2024, 14:43
Serikali kupunguza kero kukatika umeme kwa kuanzisha njia mbadala
Shirika la umeme TANESCO limeboresha huduma za nishati hiyo na kupunguza kukatikatika kwa umeme kwenye maeneo mengi nchini. Na Hobokela Lwinga Serikali kupitia shirika la umeme Tanzania TANESCO linatekeleza uanzishwaji wa vyanzo mbalimbali vya uzalishaji umeme ili kuondokana na kero…
12 June 2024, 14:04
Wananchi washiriki mdahalo wa wazi wa katiba,waomba mchakato uharakishwe
Katiba Ni Muongozo Ambao Unawekwa Kwa Ajili Ya Kuongoza Mambo Mbalimbali Iwe Katika Nchi,Vikundi Hata Taasisi Mbalimbali. Na Deus Mellah Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS kinaendelea kuendesha mijadala ya wazi yenye kujenga, kusikiliza na kupokea maoni ya Wananchi kuhusu…