Recent posts
31 July 2024, 10:16
Kurasa za magazeti ya Tanzania Julai 31, 2024
30 July 2024, 18:53
Barabara ya Mbalizi-Shigamba kupendwa kwa shilingi bilioni 2
Barabara ni kiunganishi kikubwa cha maendeleo ya nchi na watu, ukosefu wa miundombinu hiyo husababisha watu kushindwa kuzalisha na kupata uchumi Mara nyingine hata kukosa huduma Bora za afya hasa pindi mama majamzito anapokwenda kujifungua . Na Josea Sinkala, Mbeya…
30 July 2024, 18:40
Viongozi watakiwa kuhimiza michezo kuchochea ajira kwa vijana
Michezo ni afya na ndiyo sababu wataalam wa afya wamekuwa wakihimizwa ufanyaji wa mazoezi kwani husaidia kujiepusha na magonjwa yasiyoambukizwa. Na Hobokela Lwinga, Mbeya Viongozi mbalimbali wametakiwa kulipa kipaumbele suala la michezo kwenye maeneo yao hali itakayoimarisha ushirikiano katika kuchochea…
26 July 2024, 21:48
Dkt. Tulia akabidhi nyumba kwa mahitaji Mlimba, Morogoro
Wahenga wanasema kutoa ni moyo si utajiri hii inatukumbusha kuwa kila mtu anawajibu wa kumsaidia mahitaji yeyote popote anapokutana nae haijalishi ni mhitaji wa mahitaji gani. Na Ezekiel Kamanga Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani na Spika wa Bunge la…
24 July 2024, 10:00
Pareto yawanufaisha wakulima,familia ya Mbwelo yapata padri
Kilimo cha pareto kimekuwa na manufaa makubwa kwa wakulima wengi, kutokana frusa hiyo kampuni ya uzinduzi wa pareto PCT Imekuwa ikihamasisha wakulima kuchangamkia kilimo hicho kwa kuwa patia wakulima mbegu bure na kulipa thamani zao hilo kwa kununua kwa Bei…
23 July 2024, 13:12
Mbunge Sichalwe awawezesha vijana kiuchumi
Kongamano la kuwawezesha vijana kiuchumi lavunja rekodi kutokana na idadi kubwa ya vijana waliojitokeza. Na mwandishi wetu, Momba Songwe Mamia ya vijana kutoka makundi na kanda mbalimbali wamemshukuru Mbunge wa Jimbo la Momba Mheshimiwa Condester Sichalwe (Mundy) kwa kuandaa kongamano…
23 July 2024, 10:50
Rais Samia apongezwa kwa utekelezaji miradi ya maendeleo Mbeya
Viongozi wa Serikali wameletwa ili kuiponya Miili ya Watu wakiwemo Viongozi wa dini ndio maana vitabu vya dini vinasisitiza kutii mamlaka iliyojuu ya mtu. Na Hobokela Lwinga Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya Rodrick Mpogolo amekutana na Kufanya Mazungumzo na Prophet…
19 July 2024, 17:29
UWSA Mbeya kuongeza mtandao wa maji taka
Na Sifael Kyonjola Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mkoa wa Mbeya imepanga kuongeza mtandao wa maji taka na kukarabati ili kuwafikia wateja wengi zaidi. Hayo yamesemwa na kaimu meneja wa mamlaka ya maji safi na usafi wa…
16 July 2024, 20:20
Wahitimu vyuo watakiwa kutumia elimu zao kukabiliana na ukatili
Kila Jambo linalopaswa huwa linakuwa na mwisho, hata kwenye suala la elimu nalo linaukomoo kulingana na ngazi aliyopo mtu. Na Rukia Chasanika Wahitimu wa vyuo mbalimbali nchini wameshauriwa kutumia vizuri elimu zao katika kukabiliana na vitendo vya kikatili pamoja na…
14 July 2024, 18:23
Wakristo wakumbushwa kudumisha amani kuelekea uchaguzi
Kudumisha amani ni jambo linalopaswa kufanya na mtu yeyote kwenye, amani inapotoweka husababisha madhara mbalimbali ilikiwemo vifo ili kuepuka hayo jamii inapaswa kuishi na kuwa sababu ya kutunza Amani, ukiwa ni pamoja na kuwa na mshikamano. Na Hobokela Lwinga Katika…