Recent posts
17 August 2024, 06:17
Kurasa za magazeti Agosti 17, 2024
16 August 2024, 22:42
Naweni mikono, tunza mazingira kuepuka maambukizi ya ugonjwa wa nyani
Wakati serikali ikiendelea na mapambano ya ugonjwa wa nyani ulizuka katika baafhi ya nchi ikiwemo zile za jumuiya ya Afrika mashariki wananchi wanapaswa kuunga jitihada hizo na kuchukua tahadhali. Na Hobokela Lwinga Wananchi mkoani Mbeya wametakiwa kuchukua fahadhari dhidi ya…
16 August 2024, 22:22
Wananchi Igodima waomba kujengewa ofisi ya mtaa
Katika kurahisisha upatikanaji wa huduma bora na karibu na wananchi hurahisishwa na ofisi zilizo karibu,katika mtaa wa Igodima jijini Mbeya kwao hali hiyo imekuwa tofauti na wananchi wa mitaa mingine. Na Hobokela Lwinga Baadhi ya wananchi mtaa wa Igodima Kata…
13 August 2024, 17:46
Milioni 37 zapatikana ujenzi jengo la kuabudia Moravian Jimbo la Kusini
Taasisi za dini zimekuwa na mchango mkubwa nchini katika kudumisha amani na upendo hali hiyo imekuwa kichocheo kikubwa kwa viongozi wa serikali kuwa karibu katika kuchochea maendeleo ya taasisi hizo na taifa kwa ujumla. Na Mwandishi wetu. Makamu Askofu wa…
3 August 2024, 06:24
Kurasa za magazeti Agosti 03, 2024
1 August 2024, 07:53
Kurasa za magazeti August 1, 2024
31 July 2024, 19:52
Akamatwa na nyaraka za serikali Mbeya
Idara ya Uhamiaji mkoani Mbeya imemkamata Dismas Nziku kwa tuhuma za kutengeneza vyeti bandia vya kuzaliwa vinavyofanana na vile vinavyotolewa na Wakala wa Usajili. Afisa Uhamiaji mkoa wa Mbeya Ferbert Ndege Amesema wamemkamata mtuhumiawa aliye kutwa na nyaraka za serikali.…
31 July 2024, 10:16
Kurasa za magazeti ya Tanzania Julai 31, 2024
30 July 2024, 18:53
Barabara ya Mbalizi-Shigamba kupendwa kwa shilingi bilioni 2
Barabara ni kiunganishi kikubwa cha maendeleo ya nchi na watu, ukosefu wa miundombinu hiyo husababisha watu kushindwa kuzalisha na kupata uchumi Mara nyingine hata kukosa huduma Bora za afya hasa pindi mama majamzito anapokwenda kujifungua . Na Josea Sinkala, Mbeya…
30 July 2024, 18:40
Viongozi watakiwa kuhimiza michezo kuchochea ajira kwa vijana
Michezo ni afya na ndiyo sababu wataalam wa afya wamekuwa wakihimizwa ufanyaji wa mazoezi kwani husaidia kujiepusha na magonjwa yasiyoambukizwa. Na Hobokela Lwinga, Mbeya Viongozi mbalimbali wametakiwa kulipa kipaumbele suala la michezo kwenye maeneo yao hali itakayoimarisha ushirikiano katika kuchochea…