Recent posts
26 August 2024, 15:32
Chunya yapiga hatua kimaendeleo
Chunya ni moja ya halmashauri inayounda mkoa wa Mbeya ambapo kwa sasa halmashauri hiyo imefunguka kiuchumi tofauti na miaka ya nyuma, kwasasa halmashauri hiyo inafikika kirahisi kutokana na uwepo wa barabara nzuri huku ikisifika katika uchimbaji wa madini pamoja na…
26 August 2024, 15:03
Wananchi 42,000 kunufaika na mradi wa maji Itagano Mwansekwa
Kiongozi wa Mwenge amempongeza Ubora wa Mradi huo na kuwaomba Wananchi kutunza vyanzo vya Maji. Na Hobokela Lwinga Mwenge wa Uhuru 2024 kupitia kwa Kiongozi wake Ndg: Godfrey Mnzava na timu yake umeweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Itagano-Mwansekwa…
26 August 2024, 07:39
Kurasa za magazeti Agosti 26, 2024
24 August 2024, 12:12
Mwenge wa Uhuru kuzindua miradi yenye thamani ya bilioni 39.8 mkoani Mbeya
Wananchi mkoani Mbeya wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuupokea mwenge wa Uhuru pindi utakapo pita kwenye maeneo yao ukizindua miradi mbalimbali. Na Hobokela Lwinga Mwenge wa Uhuru umepokelewa mkoani Mbeya kutoka mkoani tabora ambapo Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya Rodrick Mpogolo…
22 August 2024, 16:37
Wanahabari Mbeya wanolewa kuandika habari za rushwa kuelekea uchaguzi
Uchaguzi ni moja ya nyanja inasababisha uwepo wa maendeleo ,kwani inatoa fursa ya kupata viongozi waliobora na wanao weza kuwa sababu ya kuchochea maendeleo kwenye jamii. Na Hobokela Lwinga Katika kuelekea katika uchaguzi serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu…
22 August 2024, 08:53
Kurasa za magazeti Agosti 22, 2024
21 August 2024, 13:46
DED mpya Mbarali awataka watumishi wa halmashauri kuzingatia weledi
Unapopewa nafasi ya kusimamia jambo lolote unapaswa usimamie ili matokeo chanya yaonekane, na usipotekeleza unapoteza imani kwa mtu aliyekuamini na kukupa nafasi hiyo ya usimamizi. Na Hobokela Lwinga Mkurugenzi Mpya wa halmashauri ya wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya Stephen Katemba…
21 August 2024, 09:45
Kurasa za magazeti ya Tanzania leo Jumatano 21 Agosti 2024
20 August 2024, 19:12
Taarifa za kushushwa hadhi mamlaka ya mji mdogo Kyela zazua taharuki
Mamlaka ya mji mdogo wa Kyela ni miongoni mwa miji inayopatikana mkoani Mbeya ambapo badala ya kupanda hadhi ili kuwa halmashauri mji huo unashushwa katika nafasi hiyo. Na Hobokela Lwinga Wananchi wa Mamlaka ya Mji mdogo wa Kyela mkoani Mbeya…
20 August 2024, 08:21