Recent posts
28 August 2024, 23:05
Wananchi Kyela wanufaika na mradi wa maji
Wakazi wa kata Kijiji Cha Lema kata ya Busale Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya baada ya kukumbana na changamoto ya maji kwa mda mrefu hatimaye mradi mkubwa umejengwa na kuzinduliwa na Mwenge wa Uhuru. Na Ezra Mwilwa Kinamama kutoka kata…
28 August 2024, 17:43
Wananchi wahimizwa kutunza miundombinu ya barabara Kyela
Mwenge WA Uhuru unaendeleaje kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika halmashauri ya wilaya ya Kyela mkoani Mbeya Na Hobokela Lwinga Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024 Godfrey Mnzava Pamoja na timu yake ya Vijana Sita wamewaasa Wananchi hasa…
28 August 2024, 15:38
Mwanaume ajinyonga kwa kutumia shuka Mbeya
Maisha yana changamoto nyingi ambapo husababisha baadhi ya watu kuwa na msongo wa mawazo, hali hiyo husababisha wengine kujiondoa duniani kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kujinyonga na wengine kunywa sumu. Na Flora Godwin Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina…
28 August 2024, 15:19
Wananchi Tukuyu kunufaika na mradi wa maji
Maji Ni Uhai Kila Mtu Anapaswa Kulinda Na Kutunza Vyanzo Vya Maji Ikiwa Ni Sambamba Na Kulinda Miradi Ambayo Iko Kwenye Maeneo Yao. Na Hobokela Lwinga Mwenge wa uhuru umeweka jiwe la msingi katika mradi wa kuboresha huduma ya majisafi…
28 August 2024, 08:44
Kurasa za magazeti Agosti 28,2024
27 August 2024, 16:34
Watumishi wa afya watakiwa kutoa huduma kwa weledi
Utunzaji miundombinu ni kazi ya kila mtu ili iweze kutumika kwa kizazi cha sasa na kijacho. Na Hobokela Lwinga Kituo cha afya cha kata ya Kiwira Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya kimewekwa jiwe la msingi na Kiongozi wa…
27 August 2024, 06:07
Kurasa za magazeti leo 27/8/2024
26 August 2024, 17:44
Moto waunguza bweni, wanafunzi 107 wakosa pa kulala Mbeya
Katika hali ya kusikistisha moto umezuka katika bweni la wanafunzi na kusababisha kukosa pa kulala. Na Hobokela Lwinga Wanafunzi 107 wa Shule ya Sekondari Nsenga, jijijini Mbeya wamenusurika kifo baada ya bweni walilokuwa wakilala kuwaka moto huku vitu vyote vikiteketea.…
26 August 2024, 17:14
Vijana watakiwa kutumia fursa mbalimbali zinazotolewa na serikali
Utekelezaji wa Mradi huu Umefikia asilimia 30 ambapo Jumla ya Sh. 25,410,000 zimetumika kwaajiri ya Ununuzi wa Vifaa vya Ujenzi, Gharama ya fundi, Ununuzi wa Udongo na Ununuzi wa trey la kuoteshea Mbegu. Na Hobokela Lwinga Kiongozi wa Mbio za…
26 August 2024, 15:32
Chunya yapiga hatua kimaendeleo
Chunya ni moja ya halmashauri inayounda mkoa wa Mbeya ambapo kwa sasa halmashauri hiyo imefunguka kiuchumi tofauti na miaka ya nyuma, kwasasa halmashauri hiyo inafikika kirahisi kutokana na uwepo wa barabara nzuri huku ikisifika katika uchimbaji wa madini pamoja na…