Offline
Play internet radio

Recent posts

8 April 2025, 20:09

Mwanaume mmoja auawa kwa kuchomwa moto kwa tuhuma za wizi Mbeya

Vijana wengi wamekua wakipoteza maisha kutokana na kujihusianisha na vitendo vya kihalifu ambavyo wamekuwa wakifanya kwa kizingizio cha ukosefu wa ajira. Na Hobokela Lwinga Mkazi mmoja wa Iganzo, Vincent Jafari (21), amefariki dunia baada ya kuchomwa moto na wananchi wenye…

4 April 2025, 20:16

Ghala la magodoro lawaka moto Mbeya

Jeshi la zimamoto limekuwa likitoa elimu ya matumizi ya vifaa vya kuzimia moto pindi unapotokea huku wakisisitiza utoaji wa taarifa mapema yanapotokea majanga hayo. Na Kelvin Lameck Moto mkubwa umezuka usiku wa kuamkia leo tarehe 4 April 2025 katika ghala…

30 March 2025, 17:34

Jeshi la Polisi Mbeya lapokea vitendea kazi

Katika kurahisisha utendajikazi katika Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, Kamati ya Usalama Barabarani imekabidhi kompyuta kwa jeshi hilo. Na Hobokela Lwinga Kamati ya Usalama barabarani Mkoa wa Mbeya yakabidhi vitendea kazi vya ofisi kompyuta na “Photocopy Machine” kwa Jeshi…

26 March 2025, 17:32

Moravian yakusanya milioni 30 harambee ununuzi wa gari

Katika kuhakikisha urahisi wa utendaji kazi shughuli za kikanisa, kanisa la Moravian wilaya ya Mbalizi wamefanya harambee ya ununuzi wa Gari Na Hobokela Lwinga Viongozi wa Kanisa la Moraviani Tanzania wilaya ya Mbalizi wametakiwa kuendelea kufanya kazi kwa ueledi na…

25 March 2025, 21:59

Katibu kwaya ya vijana wa zamani Moravian Mbeya afariki dunia

Kifo ni fumbo wengi tuliozungumza nao na kuishi nao hawapo wamelala,hii ni safari ya kila mmoja wetu katika ulimwengu huu ulioumbwa na Mungu. Na Hobokela Lwinga Katibu wa umoja wa vijana wa zamani kanisa la Moravian Andrew Wilmas Seleman Mwankenja…

25 March 2025, 07:24

Mbeya waipokea No reform no election

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, amesema ni jambo ambalo haiwezekani Chama hicho kupata matokeo ya uchaguzi wa asilimia sifuri kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika mwaka 2024 katika mkoa wa Mbeya na maeneo mengine…

23 March 2025, 12:10

Mch. Nzowa awataka waumini kuishi maisha ya toba

Kila mwaka wakristo duniani wamekuwa na mwezi maalumu wa mfungo ambao hukadiliwa kwa March-April kabla ya sikukuu ya pasaka,mwezi ambao umekuwa na msisitizo wa kutenda na kufanya matendo ya huruma kwa watu mbalimbali ikiwemo makundi maalumu. Na Hobokela Lwinga Mwenyekiti…

23 March 2025, 10:50

USCF Cuom yafanya ibada, Ambwene ahudumia mamia ya vijana Mbeya

Maandiko 1 Yohana 2:14Nimewaandikia ninyi, akina baba, kwa sababu mmemjua yeye aliye tangu mwanzo. Nimewaandikia ninyi, vijana, kwa sababu mna nguvu, na neno la Mungu linakaa ndani yenu, nanyi mmemshinda yule mwovu. Na Hobokela Lwinga Jumuiya ya Kikristo Tanzania CCT…

23 March 2025, 10:01

Askofu Pangani aongoza mamia kumzika Maria Kajinga

Hakuna mtu ajuaye siku ya kufa kwake hivyo tunapaswa kujiandaa kwa maisha mema ya kimwili na Kiroho. Na Hobokela Lwinga Askofu wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi Robert Pangani ameongoza mamia ya waombolezaji katika msiba wa Maria…

21 March 2025, 22:08

Mdee amwagiza DC Chunya kwa walioharibu miundombinu ya umeme

Serikali inapotekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwenye maeneo yetu jamii inapaswa kuwa walinzi ili kuondoa uharibifu unaoweza kujitokeza. Na mwandishi wetu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa Mh,Halima Mdee amemuomba Mkuu wa Wilaya…

About Baraka Fm

OVERVIEW

Baraka FM radio limited is a private owned profit media organization belonging to the Moravian church in Tanzania-South West Province. Its broadcasting house is located along Mahakama Street, Old forest Area in Mbeya and its transmitter installed at Kawetere Transmission site, 17KM along Chunya road. 

Baraka FM radio officially switched on November 2008 as the first religious radio station in Mbeya region with strong and trusted local customer brands.

More than two million people listen to Baraka FM radio, based on call in/messages as well as social media charts in the station per week.

COVERAGE AREA

Baraka FM covers 400KM radius area with strong physical presence across Mbeya region and Songwe region. Furthermore BFM has physical presence to some other parts of southern highland zones. In Njombe radio covers Makambako and Wanging’ombe districts, while in Iringa region BFM covers Mufindi as well as Kilolo districts),

Aside from area coverage above are, Baraka FM has a very strong online presence with a live online stream on its website www.barakafmradio.com and Application in a play store named Baraka FM radio 107.7 Mbeya, as well as powerful social media pages, Instagram and Facebook page.

VISION

A major and reliable radio station for the provision of quality evangelical messages, as well as basic information necessary and meaningful to individual household, and community development.

MISSION:

To provide listenership with media outlet that is committed to hearing and sharing the voices of its listenership

To produce radio programs that are educative, informative and entertaining, with regular reference to real life issues

To promote social cohesion among all members of the community within our catchment area

To provide messages of hope to heal the broken society

SOCIAL IMPACT

BFM Radio promotes social cohesion by facilitating dialogue between different sections of the community. It aims at providing a platform to bridge the gap between the voiceless and decision makers.

SLOGAN

Our slogan is “Voice of hope and salvation” which is unique among the local radio stations in that is targeted at the general audience rather than a specific demographic.

CORE VALUES

Christianity: We seek to provide high quality media services

Quality: We seek to provide high quality media services

Dynamism: We remain dynamic in responding to changing technology and other     changing global demand as long as there are not in conflict with the Moravian doctrine.

Professionalism: We are professional and transparent in all our dealings

Social responsibility:  We demonstrate that we are part of the society in which live by participating in societal activities

Integrity: We seek to recruit, develop and retain a team of high integrity

Respect:  We seek to treat all manner of people with respect

Impartiality: We seek to be fair to everybody

Diligence: We are hardworking and committed to the mission of the radio station

NUMBER OF STATION

At present BFM radio has two stations which are:

Broadcasting House (BH) comprising administration offices, news room, On –Air, Production and Recording studios

Transmission site (TX) comprising transmitter and Radio Tower (RT)

There are plans in the near future to establish a substation at Isyonje area to   strengthen signal reception in Rungwe, Kyela and Makete.

Baraka FM products:

  1. Live events coverage programs
  2. Daily business and financial news and adverts
  3. Political, social, human interest and economic news programs
  4. Daily sports package radio show
  5. Every day gospel music entertainment radio programs
  6. Religious and Bible knowledge  programs

DAILY PROGRAMMES:

From Baraka FM radio you can sponsor programs below for daily collection of customers for your business and commercial developments.

NURU YA ASUBUHI: At 06:00am to 10:00am, you are listen DW news, regional, national and international political news, social, sports and economic news contents as well as newspaper headings.

KIVULINI: Every day at 12:00PM to 2:00PM here you get and enjoy health education, delicious food preparation, greetings and house decoration education contents.

JARIDA: The program starts 10:00AM to 11:00AM, contains daily business, commercial, social, environmental, political, economic industrial as well as communication education. 

EDUCATION CORNER: Covers University and schools’ contents such as children psychology, behavior and language skills for both university, colleges and schools’ students. 

IJUE BIBILIA (KNOW THE BIBLE): It is one hour program, starts from 11:00PM to 12:00PM, the program containing bible knowledge

MUDA WETU: 2 hours program that contains, gospel music and news entertainments.