

31 July 2024, 19:52
Idara ya Uhamiaji mkoani Mbeya imemkamata Dismas Nziku kwa tuhuma za kutengeneza vyeti bandia vya kuzaliwa vinavyofanana na vile vinavyotolewa na Wakala wa Usajili.
Afisa Uhamiaji mkoa wa Mbeya Ferbert Ndege Amesema wamemkamata mtuhumiawa aliye kutwa na nyaraka za serikali.
Nao baadhi ya maafisa kutoka idara ya upelelezi mkoa wa Mbeya wamesema wataendelea na msako wakuwatafuta watu wote wanao jihusisha na vyitendo kama hivyo.