Baraka FM
Baraka fm redio yapewa cheti ushiriki kongamono idhaa za kiswahili duniani
23 March 2024, 07:37
Meneja wa kituo cha redio Baraka cha jijini Mbeya Charles Amlike akiwa ameshika chetu cha pongezi na kutambua ushiriki wa kituo hiki cha matangazo katika kongamano la idhaa za kiswahili dunia lililofanyika Mbeya.
kongamano hilo limeandaliwa Baraza la Kiswahili kwa kushirikiana na wadau wengine wakiwemo TCRA na limeanza machi 18-22 mwaka huu wa 2024.
Imeandaliwa na Hobokela Lwinga