Recent posts
26 September 2024, 20:22
Viongozi kanisa la Moravian Tanzania washiriki mkutano mkuu wa dunia
Katika kudumisha na kuendeleza Injili kupitia kanisa la Moravian duniani kunalifanya kanisa hilo kuwa na mikutano ya pamoja. Na Hobokela Lwinga Wenyeviti wa majimbo yanayounda kanisa la Moravian Tanzania wameshiriki mkutano Mkuu wa kanisa la Moravian duniani unaofanyika katika visiwa…
24 September 2024, 15:16
Ken Gold yapania kuifunga Yanga uwanja wa Sokoine Mbeya
Ligi kuu Tanzania bara yaani NBC premier league inatarajiwa kuendelea kesho katika uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya kwa wenyeji Ken Gold kuwa kuwakaribisha Yanga kutoka Dar es salaam. Na Ezekiel Kamanga Mchezo Ligi ya NBC utaozikutanisha timu ya Ken Gold…
23 September 2024, 17:24
Askofu Pangani atoa ujumbe mzigo kwa kanisa na Taifa juu ya matukio ya utekaji n…
Kutokana na hali ilivyo nchini ya matukio ya watu kutekwa na kuuawa imemlazimu askofu Pangani kutoa kauli ya kukemea matukio hayo. Na Ezekiel Kamanga Askofu Robert Pangani wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi amewataka Waumini na Watanzania…
21 September 2024, 07:07
Wanahabari Mbeya, Iringa na Njombe wajengewa uwezo
Wengi wa Watu wamekuwa na mazoea ya kufanya kazi Bila kutafuta maarifa mapya kuhusu kazi wanazozifanya,hata hivyo baadhi ya Watu wamekuwa wakipuuza pale tu fursa ya mafunzo inapokuwa imejitokeza kwa visingizio mbalimbali ikiwemo wingi wa majukumu. Na Hobokela Lwinga Imearifiwa…
21 September 2024, 06:14
Kurasa za magazeti Septemba 21,2024
17 September 2024, 22:11
Mchungaji Andrea Simbeye azikwa nyumbani kwake Iwambi Mbeya
Kila nafsi itaonja mauti vitabu vitakatifu vimeandika , na hii inadhihilisha kuwa duniani tunasafiri hivyo tunapaswa kuendelea kumtumikia Mungu kwa uaminifu. Na Hobokela Lwinga Mchungaji mstaafu marehemu Andrea Simbeye aliyefariki dunia September 14,2024 amezikwa leo Septemba 17,2024 nyumbani kwake Iwambi…
17 September 2024, 19:55
Wakristo wahimizwa kuliombea taifa juu ya ukatili
Tanzania ni nchi ya amani na kila mwananchi anapaswa kuwa mlinzi wa kulinda amani ya taifa. Na Hobokela Lwinga Mchungaji Daniel siame wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi amesema kanisa Lina wajibu wa kukemea na kuombea taifa…
17 September 2024, 06:41
Kurasa za magazeti leo Septemba 17,2024
15 September 2024, 16:39
Moravian JKM yathibitisha kifo cha Mch. Andrea Simbeye
Duniani hakuna mwenye makazi ya kudumu hivyo inatupasa kujiandaa ili kuwa na mwisho mwema. Na Hobokela Lwinga Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi linatangaza kifo Cha mchungaji mstaafu marehemu Andrea Simbeye kilichotokea tarehe September 14,2024. Taarifa iliyotolewa na…
14 September 2024, 06:23