Recent posts
4 September 2024, 08:02
Kurasa za magazeti September 04,2024
3 September 2024, 18:52
Madereva, makondakta Mbeya waomba kazi yao iheshimiwe
Sekta ya usafirishaji ni sekta inayotegemewa kwa kiwango kikubwa kutokana na uwepo wa sekta hiyo ajira nyingi zimetengenezwa licha ya uwepo wa changamoto wanazokutana nazo watendaji katika sekta hiyo. Na Hobokela Lwinga Baadhi ya maafisa usafirishaji na madereva wa daladala…
3 September 2024, 07:22
Kurasa za magazeti leo Septemba 3, 2024
2 September 2024, 23:22
MNEC Mwaselela aanza rasmi ziara Chunya, kukagua miradi ya maendeleo
MNEC Mwaselela amekutana na wajumbe wote wa Halmashauri kuu ya CCM Wilaya na viongozi wa jumuiya zote za Chama Cha Mapinduzi wilayani Chunya. Na Ezra Mwilwa MNEC Mwaselela amepokea Taarifa za Miradi Iliyotekelezwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan…
2 September 2024, 19:01
Taharuki sekondari Mbeya day kisa mzungu kugawa biskuti
Wakati serikali na jamii kwa ujumla ikipambana na mmonyoko wa maadili unaosababisha masuala ya ushoga kwa vijana wengi baadhi ya watu wamekuwa wakipuuza Hali hiyo inajitokeza katika moja ya shule Mbeya ambapo mtu asiyefahamika amebainika akigawa biskuti zinazodhaniwa kutokuwa salama.…
2 September 2024, 18:33
Wafanyabiashara soko kuu Mwanjelwa Mbeya walalamikia soko kudolola
Soko kuu la Mwanjelwa jijini Mbeya limekuwa na changamoto ambazo zimekuwa zikilalamilikiwa kwa muda mrefu ikiwemo kukukosa wateja wa kununua bidhaa kwani wengi wao wamekuwa wakitumia masoko ya nje ya soko. Na Hobokela Lwinga Wafanyabiashara wa soko Kuu la Mwanjelwa…
1 September 2024, 11:19
Diwani kata ya ilima Tukuyu azikwa,madiwani wenzake wamlilia
Kifo ni fumbo ambalo hakuna anayeweza kutegua fumbo hilo isipo kuwa Mungu mwenyewe anayetoa na kutwaa. Na Hobokela Lwinga Aliyekuwa Diwani wa kata ya Ilima Marehemu Philipo Shimwela amezikwa tarehe 31.8.2024 katika kijiji chao cha Lubanda kilichopo katika kata hii…
1 September 2024, 11:03
Askofu Pangani awataka wazazi kuombea watoto ili wamjue Mungu
Kanisa la Moravian kupitia taratibu zake katika utumishi limeweka ukomo wa miaka 60 kwa wachungaji kutumika kwenye nafasi hiyo. Na Ezekiel Kamanga Askofu Robert Pangani wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi amewataka Watanzania kuwaombea watoto ili wamjue…
31 August 2024, 23:04
MNEC Mwaselela na Viongozi wengine wauaga Mwenge wa Uhuru.
Baada ya Mwenge wa Uhuru kukagua na kizindua miradi Mbalimbali mkoani mbeya, umeagwa rasmi kuelekea mkoani Songwe. Na Ezra Mwilwa Mjumbe Wa Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa NEC Ndugu Ndele Mwaselela Amewaongoza Wajumbe Wa Kamati ya Siasa Mkoa Wa Mbeya…
31 August 2024, 09:15
Askofu Pangani ashiriki ibada ya kuaga mwili wa marehemu Mwasuka
Kuishi duniani ni matakwa ya Mungu kwani vitabu vitakatifu vinatueleza wazi kuwa duniani si makazi ya kudumu kwa kiumbe chochote hai akiwemo binadamu, hivyo Mungu kupitia vitabu yake vitakatifu vinatuelekeza kutenda mambo mema ambayo si chukizo kwake ili baada ya…