Recent posts
12 October 2024, 09:33
Vijana KMT-JKM wafanya mkutano mkuu Songwe
kumalizika kwa Mkutano mkuu wa Jimbo kwa kanisa la Moravian Tanzania kunatoa fursa kwa vijana hao kuanza maandalizi ya mkuu wa kanisa la Moravian Tanzania (KMT) ambao utafanyika jijini Dodoma. Na Hobokela Lwinga Vijana kati wa kanisa la Moravian tanzania…
12 October 2024, 05:26
Kurasa za magazeti leo 12 Oktoba 2024
9 October 2024, 08:24
Wananchi watakiwa kuacha kuchoma moto wakati wa kuandaa mashamba
Wakati msimu wa kilimo ukiwa umekaribia wananchi wanatakiwa kuchukua tahadhali ya kutokuharibu Mazingira. Na Hobokela Lwinga Wito umetolewa kwa baadhi ya wananchi kuacha tabia ya kuchoma moto mashamba wakati wa usafishaji ili kuepuka athari za moto huo kusambaa katika maeneo…
8 October 2024, 12:09
Mradi wa REGROW watoa fursa kwa wananchi kutoa malalamiko yako
REGROW ni Mradi wa Serikali unaofadhiliwa na Benki ya Dunia kwa Lengo la kuboresha usimamizi wa maliasili na kukuza utalii kusini mwa Tanzania. Hifadhi ya Taifa ya Ruaha pamoja na hifadhi ya Mikumi, Udzungwa na Nyerere wanatekeleza mradi huu. Kutokana…
8 October 2024, 12:00
Mradi wa REGROW watoa fursa kwa wananchi kutoa malalamiko yao
Ewe mwananchi mradi wa REGROW Unaofadhiliwa na bank ya dunia unakupa fursa ya kutoa malalamiko yako endapo unaipata changamoto katika uhifadhi, ukatili wa kijinsia, sambamba na migogoro ya ardhi. Njia za kutoa malalamiko 1. Fika ofisi za Kijiji chako, utapokelewa…
8 October 2024, 07:40
Kijana anusurika kifo tuhuma za kuiba pikipiki Mbeya
Ili kuondokana na uhalifu kwenye jamii, wananchi wamekuwa wakishauriwa kuwa na bidii ya kufanya kazi. Na Ezekiel Kamanga Kijana mmoja ambaye hajafahamika jina wala makazi amenusurika kifo baada ya kupigwa baada ya kutuhumiwa kuiba pikipiki ya Chama Cha Mapinduzi inayotumiwa…
8 October 2024, 01:04
Moravian, St.Galen la Uswisi kushirikiana kusaidia wenye mahitaji maalum
Ili uweze kufanikiwa kwenye jambo lolote ni lazima uhitaji ushirikiano kutoika kwa mtu mwingine iwe kimwili au kiroho ndio maana wahenga wanasema “kidole kimoja hakivunji chawa“. Na Deus Mellah Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi limeanzisha ushirikiano na…
8 October 2024, 00:29
Mch.Mwahalende azindua ofisi za wilaya ya Mbalizi kanisa la Moravian
Ni utaratibu wa kikatiba kila ngazi ya kanisa la moravian tanzania kuanzia wilaya,jimbo kuwa na ofisi za kisasa lengo likiwa ni kusogeza huduma za kiroho kwa waumini wake. na Hobokela Lwinga Makamu Mwenyekiti wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la…
8 October 2024, 00:05
Watu 17 wajeruhiwa katika ajali Jijini Mbeya
Mapema Leo Kumeshuhudiwa Kutokea Kwa Jali Ya Masafa Marefu Sae Jijini Mbeya Na Ezekiel Kamanga Watu kumi na saba wamejeruhiwa baada ya mabasi mawili yanayofanya safari zake Mbeya-Arusha mali ya kampuni ya Kaplikon na basi jingine la kampuni ya Premier…
7 October 2024, 23:11
Jamii yashauriwa kumtegemea Mungu na kuachana na Imani potofu
Wakati matukio mbalimbali yakiendelea kutokea nchini sababu inatajwa kuwa watu kumuacha Mungu na kufanya vitendo Vya kishirikina. Na Ezekiel Kamanga Wakristo Duniani wametakiwa kukimbilia kwenye nyumba za ibada pia watumishi wawe faraja kwa waumini wao badala ya kutangatanga mitaani ambako…