Recent posts
26 September 2023, 10:24
Biblia ya Agano Jipya yazinduliwa kwa lugha ya Kisafwa Mbeya
Tanzania ina makabila zaidi ya 120 na kila kabila lina mila na destri zake, katika kudumisha utamaduni, Umoja wa kabila la Wasafwa Mbeya umeandika Biblia ya Agano la Jipya kwa lugha ya Kisafwa. Na Josea Sinkala Umoja wa Maendeleo ya…
21 September 2023, 16:17
Walimu 20 Mbeya kunufaika na mafunzo, kupatiwa ajira
Kutokana na vijana wengi kuwa na taaluma za fani mbalimbali bado suala la ajira limekuwa changamoto kwa makundi mbalimbali ya vijana hivyo wadau wanapaswa kuangalia hilo hasa walio kwenye sekta binafsi kutoa fursa ya ya ajira kwa vijana hao Na…
21 September 2023, 15:47
Mbeya yazindua huduma ya utoaji wa chanjo ya polio kwa watoto
Mkoa wa Mbeya ni moja ya mkoa wa Nyanda za Juu Kusini ambao umeanza leo zoezi la utoaji wa chanjo kwa watoto wenye umri wa miaka nane hii ni kutokana na uwepo wa mkoa wa katavi kuwa na kisa cha…
20 September 2023, 18:11
Jimbo la Mbarali lapata mrithi wa aliyekuwa Mbunge Francis Mtega
Tume ya Taifa ya uchaguzi ilitangaza uchaguzi mdogo baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Francis Mtega kufariki kwa ajali akielekea shambani kwake. Na Daniel Simelta Msimamizi wa Uchaguzi katika jimbo la Mbarali mkoani Mbeya, Missana Kwangura amemtangaza…
20 September 2023, 16:51
kipindi:Chanjo kwa watoto chini ya umri wa miaka nane ni mhimu kwa ajili ya kuw…
Afisa chanjo Halmashauri ya Mbeya Christopher Mathias akiwa katika kipindi cha Nuru ya asubuhi akitoa elimu ya umhimu wa chanjo kwa watoto chini ya umri wa miaka nane(picha na Hobokela Lwinga). Kama ilivyo ada katika jamii yetu mtoto akizaliwa tu…
20 September 2023, 16:40
Mafunzo ya TADIO baraka fm yawapa shangwe wafanyakazi
Kwenye maisha ya binadamu kujifunza ni jambo jema na ukipata nafasi inakupa fursa ya kufanikiwa kwenye maisha,TADIO ni moja ya mtandao unaotoa fursa ya kumjenga mtu ili kutumia fursa zilizopo hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia. Na Hobokela…
19 September 2023, 12:46
Vikundi vya usafi vyaomba ushirikiano maeneo wanayofika kufanya usafi
Mazingira ni sehemu yoyote inayomzunguka binadamu na mazingira hayo ili kuepusha athari ikiwemo magojwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu hayana budii kuyalinda kwa kuhakikisha yanakuwa safi wakati wote. Na Sadoki Mwaigaga Wafanyabiashara wa soko la Sido jijini Mbeya wameshauriwa kutoa ushirikiano…
18 September 2023, 20:14
Toeni ushirikiano watoto wapate chanjo ya polio
Msingi wa binadamu ni afya na unapo kuwa na afya ni lazima uilinde,katika maisha ya binadamu yeyote wakati anazaliwa ni lazima apewe ulinzi wa afya yake kwa kupatiwa chanjo ya magonjwa mbalimbali,hivi karibuni serikali imekuwa na msisitizo wa kila mtanzania…
18 September 2023, 19:47
Homera: Epukeni matumizi ya simu wakati wa kutoa huduma kwa wagonjwa
Kufanya kazi kwa weledi ni sehemu ya binadamu anayejitambua na kutambua nafasi yake na ukitaka kupongezwa ni lazima uoneshe weledi wa kazi yako, ishi ukijua maisha yako yanategemea maisha ya mwingine. Na Mwandishi wetu Mkuu wa mkoa wa Mbeya Comrade…
18 September 2023, 19:14
TADIO yapongezwa, yaombwa kuongeza wigo zaidi elimu kwa wanahabari
Kila binadamu anapaswa kuwa na utu na binadamu asiyekuwa na utu hawezi kuona wema anaotendewa, unapofanyiwa jambo lenye utu unapaswa kuwa na shukrani na ndivyo ilivyo pia msisitizo katika vitabu vitakatifu vya dini. Na Hobokela Lwinga Wahariri na wakuu wa…