Recent posts
26 October 2023, 18:28
Mzee miaka 80 ukutwa na Gobole bila kibali
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na oparesheni, misako na doria zenye tija kuhakikisha usalama wa raia na mali zao. Na Hobokela Lwinga mzee wa miaka 80 mkazi wa Kijiji cha Madundasi Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya aitwaye…
26 October 2023, 16:06
RPC Mbeya awataka wanafunzi kuacha uharifu
Katika kupambana na ugarifu elimu inapaswa kuanzia chini ya ngazi ya familia hasa kwa watoto ,mkoa wa mbeya kupitia jeshi la polisi limekuwa na utaratibu wa kutoa elimu kupitia shule mbalimbali ili kukabiliana na matukio ya kiharifu ikiwemo ukatili wa…
26 October 2023, 15:05
Ukosefu wa bweni unachochea wanafunzi kupata mimba
Ni wajibu wa Wananchi, wadau wa maendeleo na Serikali kushirikiana kuhakikisha wanajenga mabweni katika shule zao hasa za vijijini ambazo wengi wa wanafunzi wanatoka mbali na kutembea kwenda mashuleni au kulazimika kupangiwa vyumba vya kuishi (mageto) hali ambayo ni hatarishi…
26 October 2023, 14:17
UVCCM Mbeya yaipongeza serikali ya Dkt Samia Suluhu Hassan
Unapofanya jambo zuri na lenye tija kwa jamii ni lazima upongezwe,hivyo ukiwa binadamu mwenye utu unapopewa nafasi ya kuongoza watu wa jamii yako huna budii kuacha alama nzuri ili kesho yako uweze kupongezwa. Na Ezra Mwilwa Umoja wa vijana wa…
26 October 2023, 13:40
Zaidi ya wanafunzi wa kike 130 wapatiwa taulo za kike Yalawe sekondari Mbeya Dc
Mtoto wa kike amekuwa akipitia madhira kadhaa ambazo zimekuwa zikimfanya kukosa masomo,wengine kutokana na ugumu wa maisha waliyonayo wazazi wao wamekuwa wakiacha shule na kujikuta wakishindwa kutimiza ndoto zao,hali hiyo imekuwa ikichochea uwepo wa ndoa za utotoni. Na Hobokela Lwinga…
24 October 2023, 16:47
Sekondari ya Shisyete yakabiliwa na uhaba wa walimu, vifaa
Wakati mapambano ya kuhakikisha wanafunzi wanakuwa na mazingira mazuri hali hiyo si nzuri katika shule ya sekondari Shisyete iliyoko Mbeya Dc nakilio hicho kikitolewa na wanafunzi wa shule. Na josea sinkala Shule ya sekondari Shisyete kata ya Shizuvi wilayani Mbeya…
24 October 2023, 15:54
Kanisa la Moravian Tanzania kupata maaskofu wawili 2023
Kanisa la Moravian kupitia taratibu zake linatarajia kupata maaskofu wawili ili kuendeleza huduma za kiroho katika dhehebu hilo. Na Deus Mellah Wakristo wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi na jimbo la kaskazini wametakiwa kuendelea kumuomba Mungu ili…
23 October 2023, 13:25
Waumini watakiwa kuachana na tabia za unafiki ndani ya dini zao
Mtu anapoamini ni ishara ya kufanya vitu vingi kwenye maisha ndivyo ilivyo pia mtu akiamini katika imani ya dini anapaswa kuishi maisha kulingana na imani ya dini yake, kwa wakristo wanaaswa kuishi maisha kama aliyoishi Yesu akiwa duniani. Na Hobokela…
19 October 2023, 19:45
Gari la kanisa laua wawili mchungaji akihamishwa Songwe
Kifo hakipigi hodi na hakuna anayeweza kuzui kifo ndio maana vitabu vya dini vina tusisitiza kujianda wakati kwa maana ya kutenda Mambo mema. Na Ezekiel Kamanga Watu wawili wamefariki kwa ajali ya lori namba T 644 AJC Mercedes Benz mali…
19 October 2023, 19:15
Mbeya kupunguza maambukizi ya malaria ifikapo 2025
Dunia imeendelea kupambana na ugonjwa wa maralia hivyo Tanzania kama nchi haina budii kuuangana na dunia katika kutimiza hilo,hali hiyo imefika mpaka ngazi za chini katika kuendeleza jitihada za kutokomeza maralia katika ngazi ya familia. Na mwandishi wetu Mbeya Mkuu…