Recent posts
8 November 2023, 13:47
Kayange: Viongozi wa maji wanaozuia wananchi kutoa kero wachukuliwe hatua
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jijini Mbeya imewaomba watumiaji wa maji kulipa ankara zao kwa wakati ili mamlaka hiyo iweze kujiendesha na kutoa huduma kwa ufanisi. Na Sifael Kyonjola Akizungumza na kituo hiki mkurugenzi wa mamlaka hiyo…
7 November 2023, 12:55
Mwenyekiti UVCCM Mbeya awataka vijana kutumia fursa zinazotolewana serikali
Vijana mkoani Mbeya wametakiwa kuwa mstari wa mbele kuzitumia fursa mbalimbali ambazo zinatangazwa na serikali kwa lengo la kujiletea maendeleo yao na taifa kwa ujumla. Na Ezra Mwilwa Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mbeya Yassin Ngonyani…
7 November 2023, 12:25
Wanavyuo washauriwa kujiajiri na kuondokana na makundi maovu
Vijana wa rika mbalimbali wanaomaliza masomo yao kwenye vyuo tofauti nchini wametakiwa kutojiingiza katika makundi yasiyofaa kwani yanaweza kukatisha ndoto zao za baadaye. Na Deus Mellah Wito huo umetolewa na msimamizi wa miradi kanisa la Moravian jimbo la Kusini Magharibi…
6 November 2023, 15:44
CP. Wakulyamba: Wapeni ushirikiano VGS
Wananchi wametakiwa kuwapa ushirikiano Askari wa Wanyamapori Vijijini (VGS) ili waweze kutekeleza Majukumu yao vizuri ya ulinzi wa Maliasili pamoja na kuwalinda wanavijiji dhidi ya Wanyamapori wakali na waharibifu. Na Mwandishi wetu, Dodoma Wito huo umetolewa na Naibu Katibu Mkuu…
6 November 2023, 15:09
Askofu Mteule Moravian KMT-JKM awataka waumini kuacha makundi
Ni siku tano tu zimepita kanisa la Moravian Tanzania jimbo la kusini magharibi limefanya uchaguzi wa kumpata askofu,na katika uchaguzi huo mchungaji robart pangani ndiye ambaye alichaguliwa katika nafasi hiyo. Na Hobokela Lwinga Askofu mteule na mwenyekiti wa kanisa la…
5 November 2023, 15:49
RC Homera acharuka, aagiza jeshi la polisi kushughulikia wavunja amani
Mazoezi ya “Show Off” yamefanyika kwa vikosi vya Jeshi la Polisi kuzunguka Jiji la Mbeya na Mji Mdogo wa Mbalizi kwa magari na kufanya doria za miguu kuonesha umahiri wa namna ya kuzuia uhalifu na kukabiliana na hali yoyote ya…
5 November 2023, 13:44
Wanafunzi shule za msingi wilaya ya Songwe kunufaika na vyandarua 32,670
Wilaya ya Songwe imezindua kampeni ya usambazaji na ugawaji wa vyandarua kwa wanafunzi wa shule zote za msingi za Serikali na binafsi lengo likiwa ni kutokomeza maambukizi ya malaria katika wilaya hiyo. Na Mwandishi wetu,Songwe Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya…
5 November 2023, 13:31
Baada ya ushindi wa urais wa IPU Dkt. Tulia aandaliwa mapokezi maalum Mbeya
Baada ya kushinda urais wa IPU Dkt Tulia Akson Mwansasu alifanyiwa mapokezi maalum jijini Dodoma kabla ya kuanza kwa shughuli za bunge ambapo viongozi mbalimbali walijitokeza kumpokea,wakati vikao vya bunge vikiwa vinaendelea jijini dodoma tayari jimboni kwakwe maandalizi ya kumpokea…
4 November 2023, 07:13
Mkurugenzi Songwe agawa pedi sekondari, ahamasisha uandikishaji watoto shuleni
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe CPA Cecilia Kavishe, amefanya ziara ya kuangalia hali ya uandikishaji wa Wanafunzi wa Elimu ya awali, Darasa la kwanza na Elimu ya watu wazima (MEMKWA) katika Kata za Namkukwe, Manda na Magamba.…
4 November 2023, 07:01
RC Songwe aagiza kukamatwa wahusika waliokatisha ndoto za wanafunzi msingi na se…
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Dkt. Francis Michael, amemwagiza Afisa Elimu Mkoa wa Songwe kwa kushirikiana na taasisi zingine likiwemo Jeshi la Polisi kuwasaka watu wote waliohusika kuwakatisha masomo wanafunzi wa shule za msingi na sekondari na kueleza hatua zilizochukuliwa…