Recent posts
24 November 2024, 22:27
Wakristo watakiwa kushiriki uchaguzi serikali za mitaa Novemba 27, 2024
Ikiwa zimesalia siku chache kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wananchi wametakiwa kuchagua viongozi wenye sifa ya uongozi. Na Ezekiel Kamanga Rais wa Mabunge Duniani Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya…
19 November 2024, 06:23
Kurasa za magazeti leo Novemba 19, 2024
9 November 2024, 07:15
Wananchi watakiwa kuwa na uzalendo kipindi hiki cha uchaguzi
Viongozi wa dini Songwe Watoa Miongozo kwa Wananchi Kuhusiana na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Na Mwandishi wetu,Songwe Katika Mkoa wa Songwe, wananchi wametakiwa kuweka uzalendo mbele katika kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa ili kuhakikisha wanachagua viongozi bora…
7 November 2024, 14:55
TAKUKURU Mbeya yabaini deni la bilioni 4 kwenye mfuko wa NSSF
TAKUKURU Mbeya yashirikisha wananchi kuzuia vitendo vya rushwa kwenye miradi ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 97. Na Hobokela Lwinga Taasisi ya ya kuzuia na kupamba na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Mbeya imefanya uchambuzi wa mifumo katika sekta ya…
5 November 2024, 20:07
176 wakamatwa Mbeya, yupo aliyeua mke kisa wivu wa mapenzi
Polisi wamekuwa na wajibu kulinda usalama na kulinda raia na Mali zao hivyo wananchi hawana budii kutoa ushirikiano pindi wanapoona uhalifu na uvunjifu wa amani. Na Hobokela Lwinga, Mbeya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 176 wakiwemo…
5 November 2024, 16:35
Mahafali ya chekechea Anu daycare yafana jijini Mbeya
Na Yuda Joseph Mwakalinga Mahafali ya wanafunzi wa shule ya chekechea ya Anu Daycare and Kindergarten iliyopo Sabasaba jijini Mbeya yalifanyika kwa mafanikio makubwa, huku wazazi na walimu wakishirikiana katika kuadhimisha siku hiyo muhimu kwa watoto wao. Katika hotuba yake…
5 November 2024, 15:43
Mikutano ya idara ya uinjilisti Moravian yatajwa sababu kukua kwa kanisa
Kanisa la Moravian Tanzania limekuwa na utaratibu wa kuandaa Mikutano mbalimbali ya idara inayofanyika katika majimbo lengo likiwa ni kueneza injili ya kristo. Na Deus Mellah Uwepo wa idara za Uinjilisti katika Kanisa la Moravian Tanzania jimbo la Kusini Magharibi…
5 November 2024, 11:48
Askofu Mwakanani,waombeeni na kuwasaidia watu wenye uhitaji
Kutoa msaada kwa wahitaji hakutegemea cheo Wala hadhi ya mtu kila mtu inapaswa kumsaidia mahitaji yeyote mwenye uhitaji. Na Kelvin Lameck Waumini wa madhehebu mbalimbali nchini wametakiwa kuendelea kuwaombea na kutoa misaada kwa watu wenye uhitaji wakiwemo yatima na walemavu.…
4 November 2024, 20:13
EAGT hema ya furaha yafanya maombi kuelekea mwisho wa mwaka
Tunapoomba kwa bidii, Mungu anatenda zaidi ya tunavyoweza kutarajia. Na Yuda Joseph Mwakalinga Waumini Kanisa la EAGT Hema ya Furaha, lililopo Airport ya Kwanza wamefanya ibada maalumu ya maombi ya kuepusha mishale ya adui, maalumu kwa kipindi cha mwisho wa…
4 November 2024, 19:45
Moravian Chunya yawapa kicheko wenye mahitaji maalum
Kila binadamu mwenye pumzi ya uhai unapaswa kupata mahitaji mbalimbali muhimu pasipo kujali hali yake ya maumbile,au maisha kwa ujumla. Na Hobokela Lwinga Serikali na taasisi binafsi zimetakiwa kuwa mstari wa mbele kusaidia makundi maalumu yenye uhitaji ikiwemo yatima,wajane na…