Recent posts
25 December 2024, 13:06
Waumini watakiwa kutenda mema na kuacha uovu
Sherehe ya Kristmas kwa mkiristo ni kiashiria cha kukumbuka upendo wa Mungu kwa mwanadamu kwa ujio wa Yesu Kristo mkombozi wa ulimwengu. Na Hobokela Lwinga Wakristo duniani wametakiwa kutenda mema ili kuwa kielelezo kuonyesha kwamba ni wafuasi wa Mungu hali…
25 December 2024, 12:44
Waumini watakiwa kujifanyia tathimini katika kusherekea Christmas ikiwa ni pamoj…
Wakristo duniani kote wanasherekea sikukuu ya kuzaliwa Yesu Kristo ambapo katika mahubiri mbalimbali yamewakumbusha waumini kumrejea Mungu. Na Yuda Joseph Mwakalinga Waumini wa madhehebu mbalimbali nchini,wametakiwa kutumia maadhimisho ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo kama fursa ya kujitathmini kiroho na kuachilia…
23 December 2024, 18:09
TAKUKURU Mbeya yafanya tathmini, mikakati ya chaguzi
Katika kupambana na vitendo vya Rushwa jamii imepaswa kuwa mstari wa mbele kutoa taarifa pindi wanapoona vitendo hivyo. Na Hobokela Lwinga Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Mbeya imefanya kongamano na wadau la thathimini ya uchaguzi…
18 December 2024, 12:21
Wagonjwa wa kipindupindu Mbeya jiji wafikia 46
Uwepo wa mvua umesababisha uwepo wa ugonjwa wa kipindupindu kwa baadhi ya maeneo ya mkoa wa Mbeya. Na Hobokela Lwinga Halmashauri ya Jiji la Mbeya limethibisha uwepo wa wagojwa 46 wa kipindupindu kuanzia december 06,2024. Taarifa ya uwepo wa wagojwa…
17 December 2024, 15:14
Wahitimu vyuo vya Biblia watakiwa kuwa mstari wa mbele kuhamasisha amani nchini
Inawezekana ulikuwa unafahamu kuwa elimu ya kawaida ndiyo inapata nafasi ya kufanyiwa mahafali tu,sasa unapaswa kujua kuwa hata elimu ya Kiroho nayo inafanyiwa mahafali. Na Deus Mellah Wachungaji wanaohitimu masomo yao katika vyuo mbalimbali vya Biblia katika ngazi mbalimbali wametakiwa…
15 December 2024, 17:18
Tume ya uchaguzi yaendelea kufanya mkutano na wadau wa uchaguzi
katika kuelekea uchaguzi mkuu viongozi wa tume ya uchaguzi wameendelea kufanya mikutano na wadau wa Uchaguzi katika maeneo mbalimbli hapa Nchini. Na Ezekiel Kamanga Mkutano wa Tume na Wadau wa Uchaguzi kuhusu uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura…
15 December 2024, 09:04
Mwanafunzi RUCU abakwa hadi kifo Iringa, azikwa Ileje Songwe
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha RUCU mkoani Iringa amebakwa na kisha kuuawa kikatili. Na Mwandishi wetu,Ileje Songwe Mwili wa Rachel Mkumbwa umezikwa katika kijiji cha Isongole kilichopo Wilaya ya Ileje mkoani Songwe, baada ya kudaiwa…
14 December 2024, 10:33
Wananchi Chunya wazikimbia nyumba zao kisa mwekezaji
Mgogoro mkubwa kati ya wananchi na mwekezaji umezuka, huku polisi wakitumia mabomu ya machozi kuwatawanya. Na Ezekiel Kamanga Wananchi wa Kijiji cha Ifumbo Kata ya Ifumbo Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya wamelazimika kuzikimbia nyumba zao baada ya Jeshi la Polisi…
12 December 2024, 15:06
22 waugua kipindupindu Jijini Mbeya
Magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu yamekuwa yakisababishwa na uchafuzi wa mazingira. Na Hobokela Lwinga Mganga Mkuu Wa Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Yesaya Mwasubila amesema wanaendelea Kuchukua hatua za kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa Kipindupindu kutokana na watu wanaougua ugonjwa…
12 December 2024, 09:32
Askofu Mwakijambile azikwa kijijini Isaki Kyela
Dunia ni njia ya kupita wengi lakini katika upitaji wa dunia hakuna ambaye anajua siku ya kumaliza safari yake duniani hivyo tuishi maisha ya uchaji kwa Mungu. Na Kelvin Lameck Waumini wa madhehebu mbalimbali nchini wametakiwa kuheshimu viongozi wao wa…