Zenj FM
Zenj FM
29 September 2026, 18:38

Na Ivan Mapunda.
Ikiwa Leo ni Siku ya Moyo Duniani, na Zenj FM imekuandalia kipindi maalum kinacholenga kuongeza uelewa kuhusu umuhimu wa kulinda afya ya moyo na kujikinga na maradhi ya moyo.
Katika kipindi hicho, Dk. Omar Mohammed Seleiman kutoka Kitengo cha Magonjwa Yasiyoambukiza, Wizara ya Afya Zanzibar, anaeleza umuhimu wa siku hiyo, sababu za maradhi ya moyo, pamoja na hatua muhimu za kuchukua ili kulinda afya ya moyo.
Usikose kipindi hiki kupitia Zenj FM fahamu zaidi, chukua hatua, na ulinde moyo wako.