Zenj FM

Mazingira duni, malezi tishio haki za watu wenye ulemavu Zanzibar

30 November 2023, 6:16 pm

Licha ya utaoji wa elimu na hatuambalimbali zinazochukuliwa na SerIkali ya Mapinduzi ya Zanzibar juu ya jamii kutambua haki, wajibu na usawa kwa watu wenye mahitaji maalum, bado inaonesha kuwa  mwamko ni mdogo  kutokana na baadhi ya jamii kuwa na imani potofu na kuamini kwamba uwepo wa watu wenye ulemavu ni laana na hawana haki ya kupata elimu kama wengine kutokana na ulemavu wao.

Tunapaswa kujua je kwanini baadhi ya jamii huwakosesha haki zao watu wenye ulemavu hususan haki ya kupata elimu?

Kujua mengi ungana nami Ivan Mapunda  kwenye  makala hii maalum inayoangazia haki za watu wenye ulemavu kwa upande wa elimu.

Sayti ya mtangazaji wa zenj fm Ivan Mapunda.