On air
Play internet radio

Recent posts

19 December 2024, 4:44 pm

Miaka mitatu ya ZCRF yasaidia watoto kujieleza Zanzibar

Na Mary Julius. Uwepo wa Jukwaa la Haki za Watoto Zanzibar (ZCRF) umesaidia watoto kuwa na uhuru wa  kujieleza,kujitambua na kupelekea kushiriki katika jukwaa la  bajeti Zanzibar. Akizungumza wakati wa  wakiwakilisha ripoti ya mwaka  ya Jukwaa la Haki za Watoto…

19 December 2024, 4:16 pm

Mtaro wa Sebleni hatari kwa watoto

Na Mwajuma Said Yussuf na Halsa Abdallah Juma Wananchi wa shehia ya sebleni wilaya ya mjini wameliomba baraza la manispaa kuufunika na kuungeza kina mtaro sebeleni ili kulinda maisha ya watoto pamoja na afya za wakaazi wa eneo hilo. Wakizungmza…

13 December 2024, 4:04 pm

Tadio yawakumbusha waandishi kuzingatia maadili uchaguzi mkuu

Na Mary Julius Waandishi wa habari wametakiwa kuzingatia maadili katika kuandika habari hasa katika kipindi cha uchanguzi mkuu ili kuikinga nchi kuingia katika machafuko. Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 Radio Tadio imetoa mafunzo  kwa waandishi wa habari wa Zenj FM…

11 December 2024, 4:58 pm

Balozi Hamad aahidi kutangaza fursa za kitalii, kuimarisha uhusiano

Na Omary Hassan. Balozi Hamad Khamis Hamad amesema ataitumia nafasi ya Ubalozi kutangaza fursa mbalimbali zinazopatikana nchini ikiwemo Utalii pamoja na kuimarisha uhusiano ili kukuza maslahi ya Tanzania. Akizungumza na Maafisa, Wakaguzi na Askari wa Jeshi la Polisi wa Mikoa…

11 December 2024, 3:55 pm

Wanahabari Pemba watoa wito marekebisho ya sheria za habari

Na Is-haka Mohammed. Waandishi wa Habari Kisiwani Pemba wameelezwa kutochoka katika harakati za kufanya  uchechemuzi wa Sheria ya Habari 1988 na Ile ya Tume ya Utangazaji ya Mwaka 1997 ili kuona vile vifungu vinavyokwanza utekelezaji wa majukumu yao ya kihabari…

10 December 2024, 6:54 pm

Muzdalifa yaiomba serikali kuanzisha siku ya mtoto yatima

Na Berema Nassor. Taasisi ya Muzdalifa Charitable Organization  Zanzibar  wameiomba  Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuweka mpango madhubuti ya kuiweka  siku ya maadhimisho ya mtoto yatima Zanzibar katika kalenda ya matukio ya kitaifa  kwa lengo la kuwatambua na kuwafariji  watoto…

10 December 2024, 6:38 pm

SMZ na mafanikio katika sekta ya elimu Jimbo la Malindi

Na Mary Julius. Mwakilishi wa Jimbo la Malindi Mohamed Ahmada Salum amesema mazingira mazuri ya elimu yaliyowekwa na serikali ya awamu ya nane yamesaidia kuboresha matokeo katika  mitihani ya taifa.  Ahmada ameyasema hayo katika hafla ya kuwapongeza wanafunzi waliofanya vizuri…

8 December 2024, 4:59 pm

Dk Mwinyi ahimiza jamii kufanya mazoezi Zanzibar

Na Mary Julius. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea  kuchukua juhudi  maalum  kuhakikisha inapunguza kasi ya ongezeko la Maradhi yasiombukiza nchini. Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo alipozungumza  baada ya Kuongoza…

We are the Voice of the Coast…

Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.

VISION: 

EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>

MISSION:  by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group