Recent posts
15 November 2024, 4:38 pm
CP Hamad awataka polisi kutomwonea mtu
Na Omar Hassan Kamishna wa Polisi Zanzibar Cp Hamad Khamis Hamad amewataka Askari waliohitimu mafunzo ya uongozi mdogo ngazi ya Sajent amewataka kufanya kazi kwa kutenda haki bila ya kumuonea au kumpendelea mtu. Akifunga Mafunzo hayo huko Chuo cha Polisi…
13 November 2024, 6:27 pm
Mwanamke Initiatives, Oryx yatua mizigo ya kuni kaya 785 Panza Pemba
Na Is-haka Mohammed. Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mattar Zahor Massoud amewataka wananchi wa Kisiwapanza kutumia vyema mitungi ya gesi waliyokabidhiwa kwani imelenga kuwaondoshea changamoto za athari za kimazingira zinazoendelea kukikumba kisiwa hicho Mattar ameyasema hayo wakati akizungumza na…
11 November 2024, 5:55 pm
Jukwaa la pamoja kurahisisha upatikanaji wa haki
Na Omar Hassan Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais katiba, sheria, Utumishi na Utawala bora anaeshughulikia Katiba na Sheria Mzee Ali Haji amesema uanzishwaji wa jukwaa la pamoja la taasisi za haki jinai itasaidia kutatua changamoto za Taasisi hizo na…
11 November 2024, 3:09 pm
DCEA yataifisha zaidi ya Tsh. 900m Zanzibar
Zaidi ya shilingi milioni mia tisa zimetaifishwa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya Zanzibar (DCEA) na kuwa mali ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutokana na kupatikana kwa njia ya haramu. Akitoa taarifa kwa waandishi wa…
10 November 2024, 4:58 pm
Tume huru kuchunguza ajali gari linalokimbia vikosi vya ulinzi na usalama
Na Omar Hassan Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Naibu Kamishna wa Polisi Dcp. Zuberi Chembera amesema Tume Huru imeundwa kuchunguza tukio la gari iliyokuwa ikikimbizwa na Askari wa vikosi vya ulinzi na usalama kupata ajali na kusababisha…
6 November 2024, 5:15 pm
Wanahabari Pemba waaswa kuandika habari za kuinua sauti za wanawake
Na Is-haka Mohammed. Waandishi wa Habari kisiwani Pemba wameaswa juu kuandika Habari zitakazosaidia kuwezesha kusikiika kwa sauti za wanawake zinazohusu mabadiliko ya tabia ya nchi na athari zake, ili sauti za wanawake hao zipate kusikika na kuondokana na changamoto zinazojitokeza …
5 November 2024, 5:56 pm
Balozi Karume alia na ukuta unaozuia njia ya kuingia kwake
Na Mwandishi wetu Mtoto Rais wa kwanza wa Zanzibar Balozi Ali Karume amesema haikuwa muafaka barabara ya kuelekea nyumbani kwa marehemu mzee Karume kufugwa na kuanzishwa mradi wa ujenzi kiwanja cha michezo katika eneo la Maisara Zanzibar. Balozi karume amesema…
5 November 2024, 4:11 pm
Usawa wa kijinsia na maswali lukuki kwenye nafasi za uongozi
4 November 2024, 3:26 pm
Miaka 4 ya Dk Mwinyi makusanyo ya kodi yaimarika ZRA
NA Is- haka Mohammed. Mamlaka ya Mapato Zanzibar,ZRA imesema ongezeko la ukusanyaji wa mapato umekuwa ukiimarika kila mwaka tokea kuangia madarakani kwa Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi mwaka 2020. Akitoa taarifa ya makusanya…
3 November 2024, 3:18 pm
Majengo ya Mjerumani yazua mzozo Zanzibar
Na Mwandishi wetu Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC) limetangaza kuwaondoa na kuwahamisha wakaazi wanaoishi kwenye majengo yaliyojengwa na iliyokuwa serikali ya Ujerumani Mashariki Zanzibar kwa miaka sitini sasa kwa madai ya kutaka kuvunjwa ili kupisha uwekezaji mpya. . Mgogoro umezuka…