Recent posts
26 November 2024, 7:17 pm
Polisi Zanzibar kufanya kazi na kamati ya maadili
Na Omary Hassan. Kamishna wa Polisi Zanzibar Cp. Hamad Khamis Hamad amesema kuanzishwa kwa kamati ya Maadili na Elimu ya Afya Zanzibar kutasaidia Jeshi la Polisi katika kutoa elimu kwa wananchi katika kukabiliana na uhalifu na kuporomoka kwa maadili ya…
25 November 2024, 6:08 pm
Makamanda wa mikoa Zanzibar watakiwa kupambana na wanyang’anyi
Na Omary Hassan Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamad Khamis Hamad amewataka wananchi kuendelea kuitunza amani iliopo kwani ni kichocheo kikubwa cha utalii hapa nchini. Ameyasema hayo huko katika shehia ya Kwamtipura alipokua akizindua opersheni maalum ya kukabiliana na uhalifu na…
25 November 2024, 5:28 pm
Baraza la Mji Kati laahidi kumaliza miradi ya Madiwani kabla ya uchaguzi
Wilaya ya Kati. Kaimu Katibu Baraza la Madiwani Ofisi ya Baraza la Mji Kati ambae pia ni Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu Mipango na Utawala Rehema Khamis Hassan, amesema miradi ya madiwani wilaya ya kati inatarajiwa kukamilika kabla ya…
25 November 2024, 3:45 pm
Takwimu za matukio ya ukatili wa kijinsia zinatisha Zanzibar
Na Omary Hassan. Jeshi la Polisi Zanzibar limesema linasimama mstari wa mbele katika kuhakikisha kesi za ukatili wa kijinsia zinashughulikiwa kwa haraka na haki inapatikana kwa wahanga. Kamishna wa Polisi Zanzibar CP Hamad Khamis Hamad ameyasema hayo wakati akitoa tamko…
22 November 2024, 7:25 pm
Wazazi waaswa kuwapatia huduma za msingi watoto wenye ulemavu
Na Mary Julius Mwakilishi Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM anayewakilisha kundi la watu wenye ulemavu Mwantatu Mbaraka Khamisi amewataka wazazi kuwapatia huduma za msingi watoto wenye ulemavu kuwajenga kutokana na ulemavu wao ili nao waweze kujitegemea. Akizungumza huko…
20 November 2024, 5:59 pm
Elimu ya matumizi sahihi ya barabara bado inahitajika Zanzibar
Na Thuwaiba Mohammed. Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja, Othman Ali Maulid amewataka madereva wa Mkoa wa Kaskazini A Unguja kuwa waangalifu wanapokuwa barabarani na kufata sheria zilizowekwa na mamlaka husika ili kuepusha ajali zinazoepukika. Akizungumza kwa niaba ya Mkuu…
20 November 2024, 5:05 pm
Mtu mmoja mikononi mwa Polisi Akituhumiwa Kubaka na Kusababisha Kifo cha Mtoto w…
Na Omar Hassan Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja linamshikilia mtu mmoja aitwae Maulid Hassan Maulid (18) mkaazi wa Mwera Pongwe katika Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja kwa tuhuma za mauaji ya mtoto mdogo Khadija Dadi Mhoda…
18 November 2024, 6:00 pm
Mkutano wa jinsia ni muhimu kwa Tanzania – DCP Chillery
Na Omar Hassan Mkuu wa Utawala na Rasilimali watu wa Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar, Naibu Kamishna wa Polisi Dcp. Simon Thomas Chillery amefungua Mkutano wa siku tatu unaowahusisha Askari Polisi na wadau wa Amani wa Nchi za Afrika…
18 November 2024, 5:36 pm
Awamu ya pili ya uandikishaji wapiga kura wapya Zanzibar kuanza Februari 2025
Na Mary Julius. Tume ya Uchanguzi Zanzibar (ZEC) imewaomba wananchi wenye sifa kushiriki katika wa awamu ya pili ya uandikishaji wa wapigakura wapya katika daftari la kudumu la wapiga kura, wakati utakapofika katika maeneo yao. Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar…
18 November 2024, 4:18 pm
Zanzibar yaadhimisha siku ya takwimu Afrika
Na Belema Suleiman Nassor Mtakwimu mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Salum Kassim Ali amesema takwimu zinazotelewa na ofisi ya mtakwimu mkuu zinasaidia Serikali katika kupanga mipango ya maendeleo ya sekta mbali mbali hapa nchini. Ameyasema hayo katika mkutano…