Zenj FM

Recent posts

24 November 2021, 1:26 pm

Madereva wa daladala watakiwa kutoingia na abiria sheli

Na Thuwaiba Mohd: Afisa  uhusiano wa mamlaka ya udhibiti wa huduma za maji na nisharti Zanzibar ZURA Hassan Juma Amour amewataka wasimamizi wa vituo vya  mafuta sheli kutoruhusu mtowa huduma kujaza mafuta kwenye gari ikiwa na abiria ili kuepusha  athari…

17 November 2021, 1:45 pm

Walokosa kuingizwa kaya maskini watakiwa kukata rufaa.

Na Mary Kitipwi:Mratibu wa mpango wa kunusuru kaya masikini unguja TASAF Makame Ali Haji amesema serikali ya mapinduzi imetoa nafasi kwa wale wote wenye sifa za kuingizwa katika maradi wa kaya maskini ambao majina ya yamekatwa katika awamu ya kwanza…

16 November 2021, 2:06 pm

Wazanzibar watakiwa kuchanja chanjo ya uviko 19

Na Thuwaiba Mohammed Waziri wa afya ustawi wa jamii wazee jinsia na watoto Zanzibar Nasor Ahmed Mazrui amewataka wazanzibar kujitokeza kwa wingi kupata chanjo ya uviko 19 ili kujikinga na ugonjwa huo. Waziri Mazrui ametowa wito huo  na kusema wananchi…

We are the Voice of the Coast…

Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.

VISION: 

EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>

MISSION:  by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group