Zenj FM

Recent posts

28 April 2026, 13:04

Rais Mwinyi kuing’arisha mei mosi Zanzibar

Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Mei Mosi yatakayofanyika Viwanja vya Dole.Maadhimisho hayo yatapambwa na maandamano pamoja na maonyesho kutoka taasisi za umma na binafsi. Na Mary Julius. Rais wa Zanzibar na…

26 April 2026, 21:48

Zanzibar kufanya kongamano la usalama na afya kazini

Zanzibar itaadhimisha Siku ya Usalama na Afya Kazini kupitia kongamano maalum litakalofanyika Aprili 28. Mjadala mkuu utazingatia changamoto za msongo wa mawazo na afya ya akili kazini kwa lengo la kuboresha mazingira ya kazi na kuongeza tija sehemu za kazi.…

25 April 2026, 09:01

Uzinduzi wa ofisi ya uhamiaji Dunga waja na mapya

Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi amewahimiza wakazi wa Dunga kushirikiana na vyombo vya ulinzi kudumisha amani na utulivu nchini. Amesema ni muhimu kutoa taarifa kuhusu wahamiaji haramu na vitendo vinavyokiuka sheria ili kulinda usalama wa taifa. Na Mary Julius. Makamu…

24 April 2026, 21:49

Tamasha la uwekezaji Zanzibar 2026 kufungua milango ya uchumi mpya

Waziri wa Kazi na Uwekezaji, Shariff Ali Shariff, amesema Tamasha la Uwekezaji Zanzibar 2026 litakuwa jukwaa muhimu la kukuza uchumi na maendeleo endelevu. Tamasha hilo, lililoandaliwa na Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar, litafanyika kuanzia Juni 3 hadi 5, 2026 katika…

19 April 2026, 17:19

Manispaa Kati yahamasisha ulipaji kodi kwa maendeleo

Baraza la Manispaa Kati limepanga kukusanya jumla ya shilingi bilioni 2.3 kwa mwaka wa fedha 2026/2027, ikiwa ni ongezeko la zaidi ya milioni 400 kutoka mwaka uliopita. Mkurugenzi Dk. Mwanaisha Ali Said amesema ongezeko hilo linatokana na kuboresha ukusanyaji na…

17 April 2026, 15:33

‘Usalama wetu kwanza’ yarejesha 452 skuli

Jeshi la Polisi Zanzibar limeripoti kupungua kwa makosa ya udhalilishaji kwa asilimia 32.1 kutoka mwaka 2024 hadi 2025. Mafanikio hayo yanachangiwa na ushirikiano kati ya Polisi, Ofisi ya Mufti Mkuu, na programu ya “Usalama Wetu Kwanza” mashuleni. Na Mary Julius.…

16 April 2026, 13:22

Mil. 500 kujenga vituo vya watoto Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeanzisha mpango wa miaka mitano wa kujenga vituo vya kulelea watoto ili kuwasaidia kina mama wafanyabiashara katika masoko mbalimbali. Mpango huo unalenga kuhakikisha watoto wanapata malezi bora, afya njema na usalama katika mazingira rafiki. Na…

13 April 2026, 16:33

Polisi Zanzibar: Hakuna aliyepoteza sehemu za siri, mmoja auwawa

Jumla ya matukio 29 yameripotiwa katika mikoa minne ya Zanzibar yakihusishwa na madai ya watu kushikwa mabega na kupoteza sehemu zao za siri. Kamishna wa Polisi Zanzibar, Kombo Khamis Kombo, amesema uchunguzi umebaini kuwa madai hayo si ya kweli, kwani…

10 April 2026, 15:07

Watu 10 wanaswa kwa kusambaza uzushi wa kupotea nyeti

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi limekanusha vikali taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwepo kwa matukio ya watu kupoteza au kuibiwa sehemu zao nyeti , likizitaja kuwa ni uzushi usio na ukweli. Polisi wamesema watu 10 wanashikiliwa kwa kusambaza taarifa…

10 April 2026, 14:35

PBZ yaweka rekodi mpya, yaahidi teknolojia na huduma bora 2026

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), Fahad Soud Hamid, amesema mikopo na uwezeshaji imeongezeka kwa asilimia 28, huku faida kabla ya kodi ikipanda kwa asilimia 20 kutokana na kuimarika kwa mapato na udhibiti wa matumizi. Aidha, benki…

We are the Voice of the Coast…

Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.

VISION: 

EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>

MISSION:  by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group