Zenj FM

Kipindi: Mwangaza wa habari

16 August 2023, 12:10 pm

Mkuu wa usalama barabarani mkoa wa Kaskazini Unguja Muslih Kheir Dalali ndani ya studio za Zenj fm.Picha na Chande Yussuf.
Sauti ya Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Kaskazini Unguja Muslih Kheir Dalali na mtangazaji wa zenjfm Ivan Mapunda.

Na Ivan Mapunda.

Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa kaskazini Unguja amewataka madereva kufuata sheria za usalama barabarani ili kuepukana na ajali.