Zenj FM
Zenj FM
25 May 2026, 16:46

Na Berema Suleiman
Mabadiliko ya tabia nchi yameendelea kuwa janga kubwa duniani kote, huku visiwa vya Zanzibar vikitajwa miongoni mwa maeneo yaliyoathirika zaidi. Kisiwa cha Uzi ni miongoni mwa sehemu zinazokumbwa na changamoto hizi kutokana na ukataji mkubwa wa miti ya mikoko na shughuli nyingine za kibinadamu zinazochangia uharibifu wa mazingira. Kupitia kipindi maalum, mwenzetu Berema Suleiman ametuandalia makala hiyo yenye kuangazia athari na suluhisho la changamoto hii.