Zenj FM

Wanawake kisiwa cha Uzi, simulizi karaha zao la mwani

8 August 2026, 13:16

Baadhi ya wanawake wakulima wa mwani Uzi Tunguu Zanzibar.

Makala maalum inayomulika changamoto za kilimo cha mwani kwa wanawake wa kisiwa cha Uzi Zanzibar.

Na Mwandishi wetu

Leo tunakuletea simulizi kutoka kwa wakulima wa mwani visiwani Zanzibar, ambao wameeleza kusikitishwa na athari zinazotokana na mabadiliko ya tabianchi, hali ambayo imekuwa ikikwamisha shughuli zao za kilimo cha zao hilo la biashara.

Mwani.

Wakulima hao wanasema, pamoja na changamoto za mabadiliko ya tabianchi, bei ya mwani isiyoridhisha imekuwa ikiongeza ugumu katika maisha yao, huku juhudi zao za kulima na kuzalisha zao hilo zikiwa hazitoshelezi kukidhi mahitaji yao ya kila siku.

Sauti ya Ivan Mapunda.