Zenj FM

Mwanamke mwenye ualbino anaye badili mitazamo ya jamii katika nafasi za uongozi

1 July 2026, 17:39

Fauzia Rajab Shaban Waziri wa Ustawi wa Jamii na Mahitaji Maalum katika serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Zanzibar University ZU.

Makala ya simulizi ya kijana wa kike mwenye ulemavu wa ualbino katika harakati za kutafuta nafasi za uongozi imekuwa ni kijana wa mfano wa kuigwa wa watu wenye ulemavu katika nafasi za uongozi uthubutu kujiamini na maadili ndio nguzo muhimu za kufikia malengo ya kuwa kiongozi

Simulizi zaidi na Berema Suleiman Nasor

Na Berema Suleiman.