Zenj FM

Recent posts

30 June 2026, 22:16

Jamii yahimizwa kushiriki malezi, ustawi wa watoto yatima

Diwani wa Kuteuliwa wa Wilaya ya Kati, Mhe. Amina Andrew Clement, ametoa wito kwa viongozi na wadau kuendelea kutembelea na kuwasaidia watoto yatima ili kuwapa faraja na kuwafanya wajisikie kuwa sehemu ya jamii. Katika ziara yake ya Kituo cha Maftuh…

30 June 2026, 19:31

Dkt. Mwinyi: PBZ ni nguzo ya uchumi wa Zanzibar

Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) imeendelea kuwa nguzo muhimu ya maendeleo ya uchumi na kuwataka kuongeza uwekezaji katika huduma za kidijitali ili kuboresha huduma kwa wananchi. Akizungumza katika maadhimisho ya miaka…

28 June 2026, 03:39

Zanzibar yajipanga kufikia viwango bora vya huduma za afya ifikapo 2030

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeahidi kuimarisha ubora wa huduma za afya kwa kuhakikisha uwekezaji uliofanywa katika sekta hiyo unawanufaisha wananchi moja kwa moja. Wadau wa afya wameeleza kuwa ushirikiano, matumizi ya takwimu na ufuatiliaji wa viwango vya huduma ni…

24 June 2026, 22:19

RC Hamida aagiza uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa fedha Kibuteni

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Hamida Mussa Khamis, ameagiza kufanyika uchunguzi kuhusu tuhuma za ubadhirifu wa fedha za Kamati ya Misitu ya Kibuteni ili kubaini ukweli wa malalamiko yaliyotolewa na wananchi. Aidha, amesisitiza umuhimu wa viongozi wa shehia kutambua…

24 June 2026, 22:04

Baa karibu na skuli zafungwa Kizimkazi

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Hamida Mussa Khamis, ameagiza kufungwa kwa baa tatu katika eneo la Kambodia, Kizimkazi Mkunguni, baada ya kubainika kukiuka sheria na taratibu za uendeshaji pamoja na kusababisha kero ya kelele karibu na skuli. Hatua hiyo…

24 June 2026, 14:39

Mapambano dhidi ya dhana potofu za chanjo yaendelea Kaskazini A

Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Wilaya ya Kaskazini A wametajwa kuwa chachu ya mafanikio ya chanjo kwa kuwafikia wananchi nyumba kwa nyumba na kuhakikisha watoto wote wanaostahili wanapata huduma kwa wakati. Hata hivyo, wananchi wametakiwa kuachana na dhana potofu…

21 June 2026, 21:00

Polisi wakanusha tuhuma za ubaguzi wa ajira Zanzibar

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu madai ya ubaguzi wa ajira katika kampuni zinazofanya kazi Zanzibar, likisema taarifa hizo si za kweli. Polisi wameeleza kuwa matumizi ya vitambulisho katika kampuni ya CRJE ni hatua…

21 June 2026, 20:32

Dimani yapanga operesheni kudhibiti madawa ya kulevya

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Dimani Kichama, Rehema Makame Msheli, amewataka wazazi kuimarisha malezi ya watoto ili kuwakinga dhidi ya matumizi ya madawa ya kulevya. Viongozi wa wilaya hiyo wameeleza kuwa matumizi ya madawa ya kulevya yanachangia ongezeko la uhalifu…

We are the Voice of the Coast…

Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.

VISION: 

EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>

MISSION:  by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group