Zenj FM
Zenj FM
20 July 2026, 23:02
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma za kumuua mwanaume mwenye umri wa miaka 40 katika eneo la Tunguu Ipa, Wilaya ya Kati, kufuatia ugomvi unaodaiwa kusababishwa na kutokuelewana. Polisi wamewahimiza wananchi kutatua migogoro kwa…
20 July 2026, 22:36
Zaidi ya wananchi 420 wamejitokeza kupima afya zao katika kambi ya huduma za afya ya siku mbili iliyoandaliwa katika Jimbo la Amani, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhamasisha uchunguzi wa mapema na kinga dhidi ya magonjwa. Viongozi wa jimbo…
20 July 2026, 20:15
Hospitali ya Wilaya ya Jitimai imewahimiza wananchi kuzingatia mfumo wa rufaa ili kuboresha utoaji wa huduma za afya na kupunguza msongamano wa wagonjwa. Uongozi wa hospitali umeeleza hospital hiyo inatoa huduma mbalimbali za kibingwa, dharura na kliniki maalumu, ikiwemo Kliniki…
18 July 2026, 22:53
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeendelea kuimarisha huduma za afya ya mama na mtoto kupitia uwekezaji katika miundombinu ya hospitali, vifaa tiba na huduma za uzazi salama. Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Siti Abasi Ali, amesisitiza…
11 July 2026, 23:06
Zanzibar ipo tayari kuwa mwenyeji wa Kongamano la Pili la Mafuta na Gesi Afrika (NADOGCE 2026) litakalofanyika Julai 25 hadi 27, likiwakutanisha zaidi ya washiriki 250 kutoka nchi zaidi ya 20 kujadili maendeleo ya sekta ya mafuta, gesi na nishati…
9 July 2026, 15:14
Wahitimu wa vyuo vikuu wametakiwa kuwa mfano wa kuigwa kwa kuheshimu sheria za nchi, kuzingatia maadili ya Kanisa na kuishi kwa maadili mema ya jamii. Wito huo umetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, SACP Daniel Emanuel Shillah,…
6 July 2026, 17:09
Mlundikano wa taka katika eneo la Nyerere, Wilaya ya Mjini, umeibua hofu ya kuongezeka kwa magonjwa kutokana na harufu mbaya na nzi wengi wanaozunguka maeneo ya makazi. Wananchi wameiomba Manispaa kuongeza kasi ya ukusanyaji wa taka na Serikali kutafuta suluhisho…
5 July 2026, 21:00
Kambi ya mwezi mmoja ya utoaji wa miguu bandia kupitia mradi wa 100 Limb Project imewanufaisha watu 94 wenye ulemavu Zanzibar, huku wadau wakihimizwa kuendelea kuwawezesha ili wajitegemee kiuchumi. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeahidi kuendelea kushirikiana na taasisi zinazotoa…
5 July 2026, 08:02
Chama cha Wananchi (CUF) kimemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia upya uamuzi wa kuzuia mikutano ya kisiasa, kikisisitiza kuwa mazungumzo kati ya vyama ndiyo njia bora ya kuimarisha demokrasia, maridhiano na utulivu wa kisiasa nchini. Aidha, chama…
2 July 2026, 02:29
Mradi wa Zanzibar 100 Limb umefanikiwa kuwafikia watu 94 kati ya 100 waliolengwa, huku watu 88 wakipatiwa miguu bandia, na hivyo kufikia zaidi ya asilimia 90 ya malengo yake. Na Mary Julius Mratibu wa Mradi wa Zanzibar 100 Limb Project,…
Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.
VISION:
EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>
MISSION: by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group