11 January 2022, 5:27 am

We are the Voice of the Coast…

Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.Launched in 2005, Zenji FM integrates education…

On air
Play internet radio

Recent posts

14 May 2024, 3:57 pm

DC Kusini Unguja atoa onyo wanaojichukulia sheria mkononi

Na Omary Hassan Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Cassian Galos Nyimbo amesema ujenzi wa vituo vipya vya Polisi nchini uendane na matumizi ya wananchi kutafuta haki kwa misingi ya sheria na kuacha tabia ya kujichukulia sheria mikononi. Akiweka jiwe…

8 May 2024, 3:03 pm

Wanaoiba pikipiki mikononi mwa Polisi mkoa wa Kusini Unguja

Na Mary Julius. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za wizi wa pikipiki katika maeneo ya mikusanyiko ya watu ikiwemo kwenye harusi, misiba na nyumba za ibada. Akizungumza na waandishi wa habari huko Tunguu…

7 May 2024, 5:41 pm

Zanzibar watakiwa kuchangia damu

Ukosefu wa damu ni moja ya sababu inayosababisha vifo vya mama na mtoto Zanzibar. Na Mary Julius Wananchi wametakiwa kujitokeza kuchangia damu ili kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao wanahitaji huduma hiyo katika hospitali za Unguja na Pemba. Wito…

2 May 2024, 2:24 pm

Madereva wazembe kupokonywa leseni Zanzibar

Na Suleiman Abdalla Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani watoa elimu ya usalama barabarani kupitia radio visiwani Zanzibar. Kitengo cha Usalama Barabarani Zanzibar kimewataka madereva na watembea kwa mguu kufuata kanuni na sheria zilizowekwa ili kuepuka ajali za mara…

1 May 2024, 7:28 pm

Mvua yaathiri uzoaji taka Wilaya ya Magharib A

Na Rahma na Suleiman Mkusanyiko wa taka kwa muda mrefu wawaibua wakazi wa Bububu meli nane. Wananchi wa Bububu meli nane wadi ya kihinani wilaya ya magharibi( A)  mkoa  wa mjini wameilalamikia  Manispaa ya wilaya hiyo kuwepo  kwa taka  muda…

25 April 2024, 6:41 pm

Zanzibar yaadhimisha siku ya malaria kwa kusambaza vyandarua

Na Mary Julius Wananchi wametakiwa kuendelea kuchukua juhudi ya kuona ugonjwa wa malaria unaondoka kwa kufanyia kazi kauli mbiu ya mwaka huu usemayo ‘Nipo tayari kushinda malaria Ziro Malaria inaanza na mimi’. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la…

25 April 2024, 5:48 pm

Zaidi ya wajawazito elfu mbili wafikiwa na M-MAMA Zanzibar

Mary Julius. Wananchi wametakiwa kushirikiana na wizara ya afya katika kuwahimiza wajawazito kuhudhuria kliniki mapema ili kupunguza vifo vya mama na mtoto. Waziri wa afya Nassor Ahmed Mazrui ameyasema hayo  alipokuwa akizungumza katika kikao kazi cha kujadili mpango wa kuendeleza…

24 April 2024, 4:56 pm

Sheha Mwembeshauri alia na uchafu katika eneo la jumba namba 2

Na Suleiman na Rahma. Jumba namba 2 na namba 1 yapo katika shehia ya mwembeshauri wilaya ya mjini, haya ni majumba ya ghorofa ambayo yalijengwa enzi za Rais wa kwanza wa Zanzibar. Sheha Wa  Muembe Shauri Abdalla Ali Abdalla amewataka…

17 April 2024, 4:46 pm

Uzio sababu ya utoro skuli ya Mguteni

Na Rahma Hassan. Uongozi wa Skuli ya Mguteni shahia ya Mbuyu Mtende wilaya ya Kaskazini wanaiomba serikali kulitafutia ufumbuzi suala la uzio katika skuli yao ili kuepusha kutoroka kwa wanafunzi hususani karibu na kipindi cha mitihani.  Wakizungumza na Zenji FM…

We are the Voice of the Coast…

Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.

VISION: 

EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>

MISSION:  by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group