Zenj FM
Zenj FM
21 June 2026, 20:19
Na Hakika Mwinyi. Wananchi wametakiwa kuendelea kudumisha usafi na kutunza mazingira katika maeneo yanayowazunguka, kwa kuwa jukumu hilo ni la kila mmoja na si la Manispaa pekee. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Baraza la Manispaa Kati, Dkt. Mwanaisha Ali…
20 June 2026, 22:04
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuimarisha huduma za msaada wa kisheria ili kuhakikisha wananchi wanapata haki kwa wakati, kwa usawa na kwa ufanisi. Na Berema Nassor Akizungumza katika uzinduzi wa…
20 June 2026, 15:06
Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) imekabidhi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar gawio la zaidi ya shilingi bilioni 15.3, ikiwa ni ongezeko la asilimia 53 ikilinganishwa na mwaka uliopita. Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar, Juma Malik Akil, amepongeza mafanikio…
17 June 2026, 16:13
Mwakilishi wa Viti Maalumu Mkoa wa Magharibi, Fatma Ramadhan Mandoba, ametoa mabati 50 kwa familia iliyopoteza nyumba kutokana na moto katika Jimbo la Dimani. Amesema msaada huo ni sehemu ya kuonesha mshikamano na kuwahimiza viongozi wengine kujitokeza kusaidia familia hiyo…
17 June 2026, 15:28
Safia Mohamed. Wananchi wa Shehia ya Fuoni Mambo Sasa wameilalamikia serikali kutokana na kuongezeka kwa vitendo vya kihalifu vinavyoendelea kujitokeza katika eneo lao. Wakizungumza na waandishi wa habari katika mahojiano yaliyofanyika katika ofisi ya Sheha wa Shehia ya Fuoni Mambo…
16 June 2026, 21:24
Wazazi na walezi wametakiwa kufuatilia maendeleo ya watoto wao na kushiriki kikamilifu katika kuwafundisha kusoma, kuandika na kuhesabu ili kuimarisha elimu yao. Wito huo umetolewa katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika, ambapo imeelezwa kuwa malezi na elimu ya…
15 June 2026, 14:05
Nyumba tano katika eneo la Magogoni, Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, zimepigwa faini ya shilingi 50,000 kila moja kwa kosa la kutiririsha maji machafu katika maeneo ya wazi na kuchafua mazingira. Hatua hiyo imechukuliwa na Manispaa ya Magharibi “B” kupitia…
14 June 2026, 15:31
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Zanzibar, Sultan Said Suleiman, amewahimiza wahitimu wa kidato cha sita kutokata tamaa na kuzingatia nidhamu, bidii na kujiamini ili kufikia mafanikio. Amesema vijana wanapaswa kutumia maarifa na vipaji vyao kujiajiri, kuajiri wengine. Na Mary…
14 June 2026, 13:36
Walimu na wazazi wametakiwa kushirikiana kuhakikisha watoto wote wa kike wenye umri wa miaka tisa wanapata chanjo ya HPV kwa ajili ya kujikinga na saratani ya shingo ya kizazi. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inalenga kuwachanja watoto 28,498 wanaostahili huduma…
13 June 2026, 22:10
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na SOS Children’s Village imetoa mafunzo ya ulinzi na hifadhi ya mtoto kwa askari wa vyombo vya ulinzi na usalama ili kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili kwa watoto. Mafunzo…
Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.
VISION:
EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>
MISSION: by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group