Zenj FM

Recent posts

6 March 2026, 14:30

KCB yakaribishwa kushiriki miradi ya maendeleo

Na Mary Julius. Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar, Juma Malik Akil, amesema sekta ya fedha nchini inaendelea kukua kwa kasi siku hadi siku kutokana na mchango wa wadau mbalimbali, wakiwemo taasisi za kifedha kama KCB Bank ambazo zimekuwa mstari…

5 March 2026, 17:02

TPF-Net yaleta neema ya maji kambi ya Polisi Ziwani

Na Denis Mtamwega. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar Anna Atanas Poul, amezindua rasmi mradi maalum wa maji katika Kambi ya Polisi Ziwani, Zanzibar, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF-Net). Uzinduzi…

4 March 2026, 18:07

Mradi wa waya wa baharini wa megawati 270 kuimarisha umeme Zanzibar

Na Mary Julius. Waziri wa Maji, Nishati na Madini wa Zanzibar, Nadir Abdullatif Alwardy amesema Serikali inaendelea kuimarisha huduma za maji, umeme na nishati kwa lengo la kuboresha maisha ya wananchi wa Unguja na Pemba. Akizungumza na waandishi wa habari…

1 March 2026, 17:11

Zanzibar yaboresha afya kupitia Ushirikiano na sekta binafsi

Na Mary Julius. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesisitiza kuwa itaendelea kushirikiana kwa karibu na sekta binafsi ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora, salama na za kisasa za afya. Kauli hiyo imetolewa kwa niaba ya Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya…

28 February 2026, 16:11

ZEC yakamilisha zoezi la kuteketeza nyaraka za uchaguzi 2025

Na Mary Julius. Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetangaza rasmi kukamilisha zoezi la kuteketeza nyaraka za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kwa mujibu wa matakwa ya Sheria ya Uchaguzi ya mwaka 2018. Akizungumza katika zoezi hilo lililofanyika kijiji cha Muyuni,…

25 February 2026, 19:00

RC Kusini Pemba atangaza vita dhidi ya magendo Pemba

Na Is haka Mohammed. Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mgeni Khatib Yahaya amezitaka taasisi za kuhiibiti magendo kisiwani Pemba kuendelea kushiriana na wananchi katika kuona biashara ya magendo inatokomezwa pamoja na kuzinimbau bandari bubu zilizopo katika maeneo ya kisiwa…

25 February 2026, 16:05

Usafiri baharini washuka, safari za anga zapaa Zanzibar

Na Berema Suleiman. Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar imesema jumla ya mienendo ya vyombo vya baharini kwa mwezi wa Januari 2026 imefikia 1,211, ikiwa ni upungufu wa asilimia 35.6 ikilinganishwa na mienendo 1,879 iliyorekodiwa mwezi Januari 2025. Akiwasilisha…

25 February 2026, 15:25

Hospitali ya Seifee Zanzibar yaunganisha taasisi za afya

Na Mary Julius. Mkuu wa Idara ya Huduma kwa Wateja wa Seifee Hospital Zanzibar Limited, Samuel Estomih, amesema lengo la kuandaa mashindano ya Ramadhan Football League ni kuimarisha ushirikiano na mshikamano miongoni mwa taasisi mbalimbali zinazotoa huduma za afya Zanzibar.…

25 February 2026, 01:06

Wasaidizi wa sheria waimarishwa kusogeza haki karibu na wananchi

Na Mary Julius. Taasisi za wasaidizi wa kisheria nchini zimeendelea kuwa nguzo muhimu katika kusogeza huduma za haki karibu na wananchi, hasa wasiokuwa na uwezo wa kumudu gharama za mawakili na wanasheria binafsi. Hayo yameelezwa na Afisa Miradi wa Mwavuli…

19 February 2026, 16:56

Mahakama kuu Zanzibar yatupilia pingamizi ya matokeo ya uchaguzi

Mahakama Kuu ya Zanzibar imetupilia mbali maombi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar yaliyohusu wajumbe wa Baraza la Wawakilishi katika majimbo nane (8) ya  Kiwani, Mkoani, Chake Chake, Chonga, Wawi, Wingwi, Micheweni na Kojani. Na Mwandishi wetu. Maombi…

We are the Voice of the Coast…

Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.

VISION: 

EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>

MISSION:  by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group