Zenj FM
Zenj FM
1 October 2026, 18:53

Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazee Wastaafu Zanzibar, Amour Haji Nassor, amesema maadhimisho ya Siku ya Wazee ni fursa muhimu kwa wazee kueleza changamoto zao na kutoa mawazo yanayoweza kusaidia jamii.
Aidha, Amour ameishukuru Serikali kwa kusikiliza na kushughulikia baadhi ya changamoto za wazee, ikiwemo huduma za bima ya afya, pensheni jamii pamoja na utaratibu wa wazee kulipa nusu ya nauli wanapotumia mabasi ya umeme
.