Recent posts
13 November 2023, 17:46
Wawili wakamatwa utoroshaji madini Mbeya
Na mwandishi wetu Watu wawili wa familia moja wamekamatwa na kikosi kazi cha madini kwa kushirikiana na maafisa madini mkoa wa kimadini wa Mbeya wakitorosha vipande 28 vya dhahabu iliyochomwa yenye uzito kilogramu 1.08373 yenye thamani ya shilingi mil. 142.229.…
13 November 2023, 15:48
St. Francis Mbeya wafanya maombi kabla ya mtihani kidato cha nne
Na Deus Mellah Wakati mtihani wa taifa wa kidato cha nne ukianza leo kwa shule zote za sekondari nchini wanafunzi kidato cha nne wa shule ya St. Francis girls ya jijini Mbeya wamefanya ibada maalumu ya kumuomba Mungu ili aweze…
13 November 2023, 15:03
DC Mwanziva atembelea gereza la Ludewa, asisitiza uzalishaji mali
Na Josea Sinkala Mkuu wa Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Mhe. Victoria Mwanziva, amefanya ziara katika Gereza la Wilaya Ludewa mkoani humo. Akizungumza na viongozi mbalimbali amesema gereza la Ludewa pamoja na kurekebisha tabia za wafungwa pia lipo ili kuzalisha…
10 November 2023, 17:14
Tumejiandaa vyema kumpokea Dr. Tulia
Mwenyekiti wa UVCCM Mbeya mjini Ndg Clemence Mwandemba amempongeza Rais wa JMT Dr Samia Suluhu Hassan Kwa kuwa kiungo hatari mchezeshaji katika Ushindi wa Dr Tulia, pale Nchini Angola ,Dr Samia amepiga asist nyingi Pale IPU na Dr Tulia zote ameweka…
10 November 2023, 16:17
Lulandala:Iweni walinzi na watetezi wa chama na serikali
katibu mkuu wa UVCCM Fakii Lulandala amewataka vijana wa UVCCM kuwa walinzi na watetezi wa chama na serikali katika utekelezaji wa maendelo kupitia ilani ya CCM. Wito huo ameeutoa katika ofisi za chama cha mapinduzi sokomatola jijini mbeya wakati akizungumza…
9 November 2023, 14:55
Serikali yaombwa kuharakisha ujenzi wa daraja Chunya
Na mwandishi wetu Wanachi wa vijiji Lualaje na Mwiji kata ya Lualaje halmashauri ya wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa daraja la Lualaje linalounganisha kata hiyo na Mapogolo wilaya ya Chunya kabla ya msimu wa mvua…
8 November 2023, 16:06
RAS Seneda apongeza ujenzi miradi halmashauri ya wilaya Momba
Katibu tawala mkoa wa Songwe Bi. Happiness Seneda ameanza rasmi ziara yake ya siku tatu katika halmashauri ya wilaya ya Momba ikiwa ni ufuatiliaji wa miradi ya serikali ambapo pia ameongozana na wajumbe wa timu ya sekretarieti ya mkoa wa…
8 November 2023, 15:35
Momba kusimamiwa na serikali ujenzi wa vyoo kwa gharama zao
Serikali ya halmashauri ya wilaya ya Momba imewaagiza watendaji wa vijiji na kata kutumia sheria ndogo za maeneo yao kutoza faini kwa wananchi ambao hawana vyoo bora na kuzitumia katika ujenzi wa vyoo bora kwa kaya ambazo zimetozwa faini hiyo…
8 November 2023, 14:57
Mwl. Haule: Kila mtu ana wajibu wa kuwaombea viongozi wa serikali
Jamii nchini imetakiwa kuiombea serikali kuanzia ngazi ya chini hadi ya juu ili ili iendelee kuongoza nchi vizuri na amani iendelee kutawala. Na Deus Mellah Wito huo umetolewa na mwalimu wa neno la Mungu Baraka Haule wakati akizungumza na kituo…
8 November 2023, 14:31
Diwani Iyunga agawa jezi sekondari ya Lupeta Mbeya
Wananfunzi wa shule za sekondari mkoani mbeya wametakiwa kusoma kwa bidii na kushika yale yote yanayo fundishwa na walimu wao ili yaweze kuwasaidia. Na Iman Anyigulile Hayo yameelezwa na mh diwani wa kata ya Iyunga Mwajuma Tindwa wakati alipokuwa akikabidhi…