Recent posts
9 December 2023, 09:34
Kanisa kushirikiana na serikali kutoa elimu ya vyuo,kupunguza uhaba wa ajira kwa…
Na Hobokela Lwinga Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi limesema nia yake ni kuiunga Serikali katika utoaji wa huduma bora hasa katika sekta ya elimu. Hayo yamesemwa na askofu mteule na mwenyekiti wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo…
9 December 2023, 08:16
Tufanye kazi kwa kuzingatia maadili ya kazi zetu
Na Hobokela Lwinga Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya Rodrick Mpogolo amewataka Watumishi wote Mkoani Mbeya Kufanya Kazi kwa Kufuata Misingi na Maadili ya Kazi na kutanguliza Mbele Uzalendo ili Wananchi wapate huduma sahihi sawasawa na Wanavyostahili. Ameyasema hayo Wakati akizungumza…
9 December 2023, 08:05
Mkuu wa mkoa wa Songwe akutana na uongozi wa kampuni za uchimbaji madini za rare…
Na Mwandishi wetu,Songwe Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Dkt. Francis K. Michael, amekutana na Viongozi wa makampuni ya uchimbaji madini, RARE HEALTH METAL na SHANTA GOLD, katika ofisi yake , Wamefika kwa lengo la kutoa taarifa kuhusu maendeleo ya…
9 December 2023, 08:00
Mkuu wa mkoa wa Songwe akabidhi msaada kwa wafungwa gereza la vwawa
Na mwandishi wetu,Songwe Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Dkt Francis K. Michael kwa kushirikiana na Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Songwe amekabidhi Tarehe 07 Desemba,2023 msaada wenye thamani ya zaidi shilingi milioni 3 kwa wafungwa wa Gereza la…
5 December 2023, 14:58
Rungwe kupokea vitambulisho vya taifa 69,638
Na mwandishi wetu Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mhe. Jaffar Haniu amezindua zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya taifa (NIDA) leo tarehe 5.12.2023. Zoezi limezinduliwa katika kata ya Kyimo tarafa ya Ukukwe. Mhe Haniu ameeleza kuwa jumla ya vitambulisho 69638…
2 December 2023, 08:33
Serikali kuboresha miundombinu ya huduma za afya
Na Kelvin Lameck Serikali imesema itaendelea kuboresha miundombinu ya utoaji wa huduma za afya sambamaba na kutoa elimu kwa Wananchi ikiwa ni hatua ya kukabiliana na kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi. Hayo yamesemwa na mkuu wa Wilaya ya Mbarali…
2 December 2023, 07:17
Pimeni afya zenu ili muishi vizuri
Na Hobokela Lwinga Jamii mkoani mbeya imeombwa kujitokeza kwenye hospitali vituo vya afya, na zahanati kupima maambukizi ya virusi vya ukimwi na kuanza matumizi ya dawa za kufubaza virusi mara moja hasa mhusika agundulikapo kuwa na maambukizi ili kuendelea kuijenga…
28 November 2023, 19:49
Moravian Tanzania yarejeshewa viwanja vyake vya Dodoma
Na Mwandishi wetu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemuagiza Katibu Mkuu Wizara yake Eng. Anthony Sanga kuwasimamisha kazi Wapima Ardhi Enock Katete na Cleoface Ngoye kwa tuhuma za kuidhinisha na kubadilisha ramani ya eneo linalomilikiwa…
28 November 2023, 16:25
Serikali yajipanga kutatua changamoto ya maji mkoani Songwe
Na Hobokela Lwinga Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi,amesema kuwa serikali inatekeleza miradi nane yenye thamani ya sh. Bilioni 13.3 kwa ajili kutoa huduma ya maji kwenye Vijiji 22 katika Wilaya ya Mbozi, Mkoani Songwe. Mhandisi Mahundi ameeleza hayo…
28 November 2023, 16:12
77% ya vijiji vimepata huduma ya maji safi na salama nchini
Na Hobokela Lwinga Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) ameitaka Sekta Binafsi kutumia fursa ya milango ya uwekezaji iliyofunguliwa na serikali ya awamu ya sita kuwekeza katika Sekta ya Maji. Wito huo ameutoa jijini Mbeya wakati akifungua…