Baraka FM

Recent posts

11 October 2023, 15:53

Mgogoro wa ardhi Mbeya wasababisha mapigano, polisi watumia mabomu

Jeshi la polisi limejikuta likitumia nguvu kwa kutumia mabomu ya machozi kuwaondoa wananchi hali iliyoleta taharuki ya mapigano kati ya wananchi na jeshi la polisi. Na Sifael Kyonjola Mtaa wa Gombe kata ya Itezi jijini Mbeya umegeuka uwanja wa mapambano…

11 October 2023, 12:58

Magonjwa zaidi ya 290 yanasababisha afya ya akili

Katika kukabiliana na ugonjwa wa afya ya akili wananchi wanashauriwa kufika kwenye vituo vya afya vinavyotoa huduma za afya ili kupima na kujua hali zao. Na Rachel Malango Tanzania inaungana na mataifa mengine ulimwenguni kuadhimisha kilele cha siku ya afya…

10 October 2023, 07:06

Katibu Mkuu Moravian Mwakilasa,Vijana acheni anasa mtumikeni Mungu

Ili kuhakikisha jamii inakuwa na kizazi kilicho bora kuna kuwa hakuna budi kuanza kuwajenga vijana kulingana na rika zao,kanisa la Moravian limekuwa na utaratibu mzuri wa kuwakutanisha vijana kutoka shirika zake mbalimbali lengo likiwa ni kujipa tathini ya mwenendo wa…

8 October 2023, 07:17

Wasichana 700 shule ya sekondari Kayuki wapewa taulo za kike

Jukumu la malezi ni la kila mtu, katika kuwezesha mabinti ili kupata elimu kwenye mazingira bora huna budi kuhakikisha mabinti hao wanafunzi wanawekwa kwenye mazingira mzuri kila wakati. Na mwandishi wetu Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya ambaye pia…

5 October 2023, 22:06

Zimamoto Mbeya yatoa elimu shule za msingi

Elimu ni msingi wa maendeleo, kila mtu anapaswa kupata elimu ili kuweza kufanikiwa juu ya jambo ambalo anatamani kulijua haijalishi umri, hapa jeshi la zimamoto linaonesha wazi namna ambavyo limeendelea kutoa elimu ili kuwezesha wananchi kukabiliana na majanga mbalimbali ikiwemo…

5 October 2023, 20:35

Bilioni 5 zawanufaisha wananchi ujenzi mradi wa maji Mbarali

Maji ambayo imekuwa ikitajwa kuleta migogoro ya kindoa, kwa ujumla kero hiyo imekuwa ikitatuliwa pindi ambapo mamlaka yenye wajibu wa kupeleka huduma inapopeleka eneo husika, huku wajibu wa kutunza mradi huo likibaki wa watumiaji ambao ni wananchi. Na mwandishi wetu…

3 October 2023, 19:09

Umuhimu wa kutunza macho yako ukiwa kazini

Katika maisha yetu ya kila siku tunashauriwa kutunza macho yetu kwa kupunguza matumizi ya simu pamoja na komputa hasa ukiwa kazini. Na Mpoki Japheth Wananchi mkoani Mbeya wameshauriwa kutunza macho yao ili kuepukana na changamoto ya tatizo la uoni hafifu.…