Recent posts
19 December 2023, 19:49
Rungwe Mbeya yampokea mwenyekiti wa ccm mpya
Shangwe ya Mapokezi ya Mwenyekiti Mpya wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Patrick Mwalunenge Katika Wilaya ya Rungwe lmefana baada ya Mamia ya wakazi wa wilaya ya Rungwe kujitokeza Kumlaki. Mapokezi yamefanyika katika uwanja wa stendi ya daladala Tukuyu mjini. Mwalunge…
19 December 2023, 19:39
Mbeya ya tatu uzalishaji wa chakula,wananchi washauriwa kuzalisha kwa tija
Na mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde Juma Zuberi Homera ameshiriki Mkutano wa Wadau Nyanda za Juu Kusini lililoandaliwa na Baraza la Kumshauri Rais kuhusu masuala ya Chakula na Kilimo chini ya Waziri Mkuu Mstaafu Mh: Mizengo Kayanza…
19 December 2023, 19:23
Iringa watoa msaada wa tsh. 42,944,000 kwa waathirika mafuriko Hanang
Na Moses Mbwambo Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego akiwa ameambatana na viongozi wa Mbalimbali wa mkoa huo wakiwemo wakuu wa Wilaya Wakurugenzi viongozi wa Chama cha Mapinduzi na kamati ya ulinzi wametoa Mkono wa pole kwa Waathirika…
12 December 2023, 19:28
Songwe waanzisha mradi wa parachichi kujikwamua kiuchumi
Na mwandishi wetu,Songwe Ili Kujikwamua kiuchumi na kuanza kujitegemea Klabu ya waandishi wa Habari mkoa wa Songwe imeanzisha mradi wa kilimo cha zao la parachichi ambalo wanategemea kuanza kuvuna baada ya miaka miwili. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa klabu ya…
12 December 2023, 19:23
Mbunge Sikonge Tabora aipongeza halmashauri ya Rungwe Mbeya
Na mwandishi wetu,Rungwe Mbeya Mheshimiwa Joseph Kakunda Mbunge wa Jimbo la Sikonge Mkoa wa Tabora ameipongeza Halmashauri ya wilaya ya Rungwe kwa Kuzalisha zaidi ya lita za maziwa million 44 kwa mwaka hatua iliyoongeza kipato cha wananchi sambamba na uboreshaji…
12 December 2023, 19:09
TANROAD Songwe yakabidhiwa gari mpya kuimarisha miundombinu ya barabara
Na mwandishi wetu, Songwe Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Dkt. Francis K. Michael katika kuimarisha sekta ya miundombinu ya barabara amekabidhi gari aina ya Toyota Landcruiser ambalo limetolewa na serikari kupitia Wizara ya Ujenzi katika ofisi ya Wakala wa…
12 December 2023, 18:38
Mkoa wa Songwe watoa msaada kwa waathirika wa mafuriko Hanang’
Na Mwandishi Wetu,Songwe Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Dkt Francis K. Michael, amepokea msaada kutoka kwenye Kikundi cha Tunduma ni Fursa Online 11 Desema 2023. ambacho kimetoa tani moja ya mahindi, kilo 250 za sabuni, mavazi pamoja na viatu…
9 December 2023, 09:34
Kanisa kushirikiana na serikali kutoa elimu ya vyuo,kupunguza uhaba wa ajira kwa…
Na Hobokela Lwinga Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi limesema nia yake ni kuiunga Serikali katika utoaji wa huduma bora hasa katika sekta ya elimu. Hayo yamesemwa na askofu mteule na mwenyekiti wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo…
9 December 2023, 08:16
Tufanye kazi kwa kuzingatia maadili ya kazi zetu
Na Hobokela Lwinga Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya Rodrick Mpogolo amewataka Watumishi wote Mkoani Mbeya Kufanya Kazi kwa Kufuata Misingi na Maadili ya Kazi na kutanguliza Mbele Uzalendo ili Wananchi wapate huduma sahihi sawasawa na Wanavyostahili. Ameyasema hayo Wakati akizungumza…
9 December 2023, 08:05
Mkuu wa mkoa wa Songwe akutana na uongozi wa kampuni za uchimbaji madini za rare…
Na Mwandishi wetu,Songwe Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Dkt. Francis K. Michael, amekutana na Viongozi wa makampuni ya uchimbaji madini, RARE HEALTH METAL na SHANTA GOLD, katika ofisi yake , Wamefika kwa lengo la kutoa taarifa kuhusu maendeleo ya…