Recent posts
13 September 2024, 22:15
Vijana watakiwa kutumia nguvu zao kujiimarisha kiroho, kiuchumi
Mafaniko ya mwanadamu yanategemea nguvu ya uwekezaji alionao mtu na ili uweze kufanikiwa ni lazima ujiepushe na mambo ambayo yanaweza yakakufanya ukashindwa kufanikiwa. Na Hobokela Lwinga Vijana wametakiwa kutumia muda wao mwingi katika kumtumikia Mungu na kujiimarisha kiuchumi kwani umri…
10 September 2024, 06:53
Wachungaji 49 Moravian wapanda madaraja ya ushemasi, ukasisi
Kanisa la Moravian Tanzania limekuwa na Utaratibu wa kuwapandisha ngazi wachungaji wake hii ikiwa ni moja ya sifa ya makanisa ya kiprotenstanti katika madaraja matatu yaani ushemasi, ukasisi na uaskofu. Na Hobokela Lwinga Askofu mstaafu wa Kanisa la Moravian Tanzania…
10 September 2024, 06:28
Kurasa za magazeti Septembea 10, 2024
7 September 2024, 06:56
Kurasa za magazeti ya Tanzania Septemba 07, 2024
6 September 2024, 14:47
Watu 11 wafariki dunia, 44 wajeruhiwa ajalini Lwanjilo Mbeya
Siku chache zimepita tangu ajali mbaya kuukumba mkoa wa Mbeya ambapo watu 9 walifariki na 18 kujeruhiwa, wakati maumiv hayo yakiwa bado hayajapoa kwa ndugu waliopoteza wapendwa wao ajali nyingine inatokea ikiwa ni ndani ya mwezi September,2024. Na mwandishi wetu…
6 September 2024, 13:46
Vijana watakiwa kutojihusisha na vurugu ndani ya kanisa
Ili kuwa na kizazi chenye maadili mema kanisa la Moravian limekuwa na Utaratibu wa kuratibu mikutano mbalimbali kwenye idara Zake ikiwemo vijana ili kuwafundisha kumjua Mungu. Na Hobokela Lwinga Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi limewataka vijana kuwa…
5 September 2024, 22:54
Wafugaji Mbeya wampongeza Dkt.Samia kwa uchapakazi wake wa vitendo
Katika kuondoa migogoro kati ya wafugaji na wakulima Serikali Imeendelea kuwa karibu na makundi hayo kujua changamoto ambazo wanakabiliana nazo ili ziweze kutatuliwa. Na Hobokela Lwinga Chama Cha mapinduzi kupitia Serikali yake inayongozwa na mwenyekiti wa chama hicho Dkt.samia suluhu…
5 September 2024, 09:34
Watu 9 wafariki,18 wajeruhiwa ajalini Mbeya
Basi lililokuwa linatokea Sumbawanga kuelekea Ubaruki na lilipofika eneo la Kijiji cha ya Mbarali kwenye kona kali dereva alishindwa kulimudu na kusababisha ajali. Na Hobokela Lwinga Jeshi La Polisi Mkoa Wa Mbeya Lina Mshikilia Dereva Alfredy Baharia Mwidunda [50] Mkazi…
5 September 2024, 08:42
Habari kubwa za magazeti ya September 5, 2024
4 September 2024, 17:32
Watuhumiwa 992 wakamatwa kwa tuhuma mbalimbali Mbeya mwezi agosti,2024
Katika kipindi cha mwezi Agosti , 2024 jumla ya watuhumiwa 992 wa makosa mbalimbali yakiwemo makosa ya mauaji, kujeruhi, wizi pamoja na kupatikana na nyara za serikali. Na Hobokela Lwinga Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kuimarisha ulinzi na…