Nuru FM
Nuru FM
9 July 2025, 6:27 pm
Makala hii inaelezea ushiriki wa wanawake katika kutia nia kwenye Uchaguzi Mkuu wa Octoba 2025. Na Hafidh Ally na Dorice Olambo Wakati Kipenga cha uchukuaji fomu kikipulizwa kwa baadhi ya vyama kuanza mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi za uongozi…
9 July 2025, 1:43 pm
Watumishi na watendaji wote Mkoni Iringa wameaswa kuhakikisha wanafanya kazi kwa bidii kwa uadilifu na uzalendo. Na Ayoub Sanga Rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Peter Serukamba amekabidhi Ofisi kwa Mkuu wa Mkoa mpya ambae ni Kheri James huku…
8 July 2025, 8:33 pm
Katika mipango yake ya kuboresha huduma, Serikali kupitia Wizara ya Afya, ina utaratibu wa kutenga fedha kwa ajili ya kuboresha huduma za afya. Na Zaitun Mustapha na Rogasia Kipangula Uongozi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa umesema kuwa serikali…
3 July 2025, 9:40 am
Katika kukabiliana na migogoro ya ardhi Wananchi 267 wamekabidhiwa hatimiliki za ardhi. Na Mwajuma Hassan Maboresho ya Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995 toleo la 2023, yameanza kuzaa matunda kwa wananchi wa kawaida, kwa kuwezesha kurasimishwa kwa makazi,…
3 July 2025, 9:25 am
Ushirikiano huo unalenga kujengeana uwezo katika uandishi wa miradi, hatua inayolenga kusaidia taasisi hizo mbili kupata fedha za kuendesha shughuli zao kwa ufanisi zaidi. Na Ayoub Sanga Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) kimesaini mkataba wa ushirikiano na Mamlaka…
2 July 2025, 4:30 pm
Na Godfrey Mengele Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Kheri James amewataka viongozi, Wakuu wa Taasisi na wananchi kwa jumla kuendeleza ushirikiano uliopo ili kutekeleza maendeleo pasina migogoro. Zoezi la uapisho limefanyika katika Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Iringa…
2 July 2025, 2:09 pm
“Watoto yatima wanapaswa kupata msaada sawa na watoto wengine” Na Adelphina Kutika MBUNGE wa Jimbo la Kalenga anayemaliza muda wake Jackson Kiswaga ametoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo vyakula kwa Watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Watoto yatima Tosamaganga kilichopo…
30 June 2025, 8:03 pm
Elimu ya afya ya uzazi kwa vijana ina umuhimu mkubwa kwa jamii katika kujiletea ustawi wake. Na Joyce Buganda Shirika la SOS Chidrens Villages na taasisi ya TAI wamekuja kidigitali kwa kutengeneza jumbe zinahusu afya ya uzazi kwa vijana ili…
27 June 2025, 3:37 pm
Kozi Mpya ziilizozinduliwa na Chuo Cha Muce zinalenga kutatua changamoto ya ajira kwa vijana. Na Godfrey Mengele Chuo kishiriki cha Elimu Mkwawa Iringa { MUCE } Kimezindua kozi mpya za kitaaluma 7 {Post Graduate Degree Programmes} kwa ajili ya msimu…
24 June 2025, 1:14 pm
Kutokana na changamoto wanazopitia wajane, serikali imeamua kufanya utafiti ili kuzitafutia ufumbuzi. Na Adelphina Kutika Serikali imezindua mwongozo mpya wa uratibu wa wajane wenye lengo la kulikomboa kundi hilo dhidi ya changamoto za ukatili wa kijinsia na vikwazo vya kiuchumi.…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.