Recent posts
23 August 2024, 10:28 am
Wananchi wa Kikombo walalamikia ubovu wa barabara
Na Fredrick Siwale Wananchi wa Kijiji cha Kikombo Kilichopo Kata ya Isalavanu Halmashauri ya Mafinga Mji wamelalamikia ubovu wa barabara jambo linalopelekea kuwa na vumbi linalotarisha afya zao. Wakizungumza katika ziara ya kikazi ya Mbunge wa Jimbo la Mafinga Cossato…
20 August 2024, 9:57 am
Madiwani Mafinga Mji wahoji uwepo maduka ya dawa karibu na hospitali
Madiwani Mafinga mji wamekazia Marufuku ya maduka binafsi ya dawa kuwa karibu na viunga vya hospitali za umma kuwa yanapaswa kuwa umbali usiopungua mita 500 kutoka hospitali ilipo sababu ikitajwa kuwa maduka hayo ya dawa yanahusika katika kuchochea upungufu wa…
20 August 2024, 9:48 am
Veta Iringa yahitimisha mafunzo kwa madereva zaidi 126
Na Adelphina Kutika Chuo cha Ufundi Stadi VETA Mkoani Iringa kimehitimisha Mafunzo kwa Madereva wa Maroli 110 na Magari ya Abiria 16 ( PSV) kwa kipindi cha wiki Mbili lengo likiwa ni kupunguza ajali za barabarani. Akizungumza na Madereva hao…
19 August 2024, 9:12 pm
Mtunzi: Msiwafiche watoto wenye ulemavu
Tabia ya kuwaficha watoto wenye ulemavu imendelea kukithiri katika Jamii jambo lililomuibua mganga Mkuu wa Wilaya ya iringa kukemea kitendo hicho. Na Joyce Buganda Wazazi mkoani Iringa wametakiwa kutowaficha watoto wenye changamoto ya ulemavu kwani kwa kufanya hivyo ni kuwanyima…
15 August 2024, 10:55 am
Sakata la nauli kupanda Mafinga Mji latua baraza la madiwani
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Barabarani Tanzania ndio yenye mamlaka ya kupandisha na kushusha nauli za usafiri wa uma jambo ambalo limekuwa tofauti katika Halmashauri ya mji Mafinga ambapo madereva ndio wametekeleza zoezi hilo. Na Hafidh Ally Siku chache…
14 August 2024, 8:20 am
Wakurugenzi Iringa kutenga bajeti ya program ya malezi PJT MMMAM
Utekelezaji wa Programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto ( PJT-MMMAM) unaweza kutoa suluhisho la kudumu la changamoto inayokabili mkoa wa Iringa ya ukatili wa kijinsia, lishe, afya na malezi bora dhidi ya watoto…
13 August 2024, 10:13 am
Wakazi wa Jimbo la Isimani waagizwa kujiandikisha daftari la mpiga kura
Na Adelphina Kutika Wakazi wa kata ya Malengamakali, Jimbo la Isimani, wilaya ya Iringa, wametakiwa kujiandikisha katika daftari la mpiga kura ili waweze kushiriki zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi Mkuu mwakani. Wito huo umetolewa na Afisa…
13 August 2024, 9:58 am
KKKT usharika wa Magulilwa kupinga ukatili wa kijinsia
Viongozi wa dini wana jukumu na nafasi kubwa katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia katika jamii. Na Mwandishi wetu Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Iringa Dr. Blaston Gavile amelitaka kanisa hili kupinga vitendo vya ukatili…
8 August 2024, 2:22 pm
Waotumia misiba kujipatia umaarufu kisiasa waonywa
Na Frank Leonard, Iringa Watia nia wa ubunge katika baadhi ya majimbo ya mkoa wa Iringa wametuhumiwa kuomba ongezeko la misiba ili kujipatia umaarufu na kuonyesha kujali jamii. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Salim Asas, alitoa taarifa hiyo…
5 August 2024, 3:26 pm
ASAS aonya dhidi ya uongozi wa matajiri
Na Frank Leonard MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Salim Asas, amewaonya wanachama wa CCM kuhusu hatari ya kukumbatia wenye fedha kunyakua uongozi, akihofia kwamba wasio nacho wanaweza kukosa fursa hata kama wana sifa bora zaidi. Asas ameahidi kuendelea…