Nuru FM

Recent posts

9 October 2024, 8:52 pm

Tanesco Iringa yahamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia

Na Adelphina Kutika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linaadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kuhamasisha wananchi kutumia  nishati safi ya kupikia ili kuunga mkono kampeni ya kitaifa ya kupunguza utegemezi wa kuni na mkaa kama vyanzo vya nishati. Hayo…

8 October 2024, 12:11 pm

Serikali kuboresha miundombinu hifadhi ya taifa ya Ruaha

Na Joyce Buganda Serikali  imapanga kuboresha miudombinu katika hifadhi ya Taifa ya Ruaha  Mkoani Iringa ili kuongeza idadi ya watalii kufika bila kero huku wawekezaji wakishauriwa kwenda kuwekeza hifadhini hapo. Akizungumza katika kilele cha miaka 60 ya hifadhi ya taifa…

8 October 2024, 12:09 pm

Kihenzile akabidhi majiko 2000 kwa mabalozi Jimbo la Mufindi Kusini

Na Adelphina Kutika Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini na Naibu Waziri wa Uchukuzi David Mwakiposa Kihenzile amegawa majiko 2000 kwa mabalozi wa mashina wa Chama cha mapinduzi (CCM) katika Jimbo hilo ikiwa ni katika kuendeleza jitihada za kuhamasisha matumizi…

4 October 2024, 3:51 pm

Viongozi wa dini wazuru hifadhi ya Taifa Ruaha

Na Adelphina Kutika Viongozi wa dini kutoka Mkoa wa Iringa wamejizatiti kushirikiana na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha katika kutoa elimu kuhusu uhifadhi wa vyanzo vya maji na ulinzi wa mazingira. Haya yanajiri kufuatia  ziara ya viongozi October  3  2024…

1 October 2024, 9:57 am

Asas: Vijana tumieni mitandao kuyasemea mazuri ya Rais

Na Adelphina Kutika Vijana wa Uvccm mkoa wa Iringa wametakiwa  kutumia  mitandao ya kijamii  kuzungumza mazuri yanayofanywa serikali na serikali ya awamu ya sita. Agizo hilo limetolewa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Asas,wakati…

27 September 2024, 8:47 pm

Serukamba: Jitokezeni kujiandikisha daftari la wapiga kura

Na Hafidh Ally Wananchi mkoani Iringa wametakiwa kujitokeza kwa wingi  kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura  Kuelekea  uchanguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mwezi November mwaka  huu. Akizungumza na waandishi wa habari ofsini kwake Mkuu wa Mkoa wa…

26 September 2024, 9:49 am

DC Kheri: Lindeni rasilimali za chuo cha VETA Pawaga

Na Joyce Buganda Mkuu wa Wilaya ya Iringa Kheri James amewasihi wananchi Wilayani Iringa kuhakikisha wanalinda rasilimali zilizowekwa katika chuo cha ufundi stadi (VETA) kilichopo Pawaga wilaya ya iringa. Kheri James ameyasema wakati alipotembelea na kukagua maendeleo ya chuo hicho…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.