Nuru FM
Nuru FM
27 August 2025, 1:05 pm
Matumizi ya nishati safi ya kupikia yanalenga kupunguza athari za kiafya, mazingira na kuboresha maisha ya wananchi, huku ukipunguza athari za mabadiliko ya tabianchi. Na Adelphina Kutika Katika juhudi za kuhimiza matumizi ya nishati safi na kuboresha lishe katika jamii,…
27 August 2025, 11:21 am
Makala hii inaelezea ushiriki wa wanawake wenye ulemavu katika nafasi za uongozi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Na Hafidh Ally na Dorice Olambo Nuru FM imekuandalia makala hii maalum kujua ni kwa kiwango gani watu wenye ulemavu hasa wanawake…
26 August 2025, 11:56 am
“ACT wazalendo imekuwa na Mwenendo mbaya wa Uongozi jambo lililopelekea Vigogo wa Chama hicho Jimbo la Iringa kung’atuka” Kalama Na Joyce Buganda Viongozi Chama cha ACT wazalendo Jimbo la Iringa Mjini wamejivua uanachama wa chama hicho kutokana na mwenendo mbovu…
25 August 2025, 9:39 am
Viboko walioko katika Bwawa la Mtera Wilaya ya Iringa wamekuwa kero kwa wananchi hao jambo linalohatarisha usalama wao. Na Adelphina Kutika Wananchi wa Kata ya Migoli, Wilaya ya Iringa, wameiomba Serikali kuchukua hatua za haraka kudhibiti wanyama wakali, hususan boko…
21 August 2025, 11:19 am
Barabara ya Mgololo yenye urefu wa kilomita 80 imekuwa chanzo cha vifo, na kusababisha kutokukua kwa uchumi wa wananchi wa eneo hilo. Na Hafidh Ally Wananchi wa Tarafa ya Mgololo Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa wanakabiliwa na changamoto ya Ubovu…
20 August 2025, 11:15 am
Malezi ni mchakato wa kumtunza, kumuelekeza, kumuongoza na kumuelimisha mtoto hadi anapofikia umri wa kujisimamia mwenyewe. Na Joyce Buganda Wazazi na walezi mkoani Iringa wametakiwa kushirikiana kwa pamoja katika Malezi ya watoto ili kuwasaidia katika ukuaji wa maadili mema katika…
19 August 2025, 12:40 pm
Mgombea huyo amechukua fomu kutetea nafasi yake ya Udiwani kupitia CCM baada ya kuongoza Kata hiyo kuanzia mwaka 2020-2025. Na Adelphina Kutika Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Gangilonga, Mheshimiwa Likotiko Kenyata,amechukua rasmi fomu ya kugombea tena nafasi ya udiwani kupitia…
18 August 2025, 10:51 am
Miradi ya maendeleo ikisimamiwa ipasavyo hadi kukamilika kwake itasaidia kukuza huduma bora za kijamii kwa wananchi. Na Adelphina Kutika Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Kheri James, amewataka Wakuu wa Taasisi ya TANROADS, TARURA, RUWASA na IRUWASA kuhakikisha wanasimamia ipasavyo…
15 August 2025, 9:40 am
Ujenzi wa barabara ya Pawaga-Izazi utasaidia wananchi kukuza uchumi wao kwa kusafirisha mazao Yao hasa mpunga. Na Hafidh Ally Wananchi wa Tarafa ya Pawaga Wilaya ya Iringa wameipongeza serikali kwa kutenga zaidi ya Shilingi bilioni 2.3 katika mwaka wa fedha…
14 August 2025, 10:40 am
Elimu ya lishe iliyotolewa na Shirika la World Vision imelenga kupambana na changamoto ya lishe ambayo imeendelea kutafutiwa uvumbuzi Na Adelphina Kutika Wananchi wa kijiji cha Kidilo Kata ya Kihanga Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, wameendelea kuchukua hatua dhidi ya…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.