Nuru FM

Recent posts

19 October 2024, 11:32 am

Mgogoro wa Wakulima na wafugaji Pawaga kutafutiwa suluhu

Changamoto na kero zinazowakabili wafugaji na wakulima katika Tarafa ya Pawaga iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Iringa zimeanza kutatuliwa. Na Joyce Buganda WAKULIMA wa Tarafa ya Pawaga, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, wamelalamikia vitendo vinavyofanywa na wafugaji kuruhusu mifugo kuingizwa…

12 October 2024, 7:45 pm

SHIUMA lataka machinga Iringa kukomesha migogoro

Na Adelphina Kutika Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (SHIUMA) limewataka wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga mjini Iringa kukomesha migogoro inayowagawa ili wawe na sauti moja katika kushughulikia masuala yao. Wito huu umetolewa  na Katibu Mkuu wa SHIUMA Taifa, Venatus…

10 October 2024, 3:48 pm

TRA kuboresha mazingira na wafanyabiashara Iringa

Na Adelphina Kutika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeahidi kuendelea kushirikiana na wafanyabiashara mkoa wa iringa ili kuboresha mazingira ya mazuri yatakayowawezesha kulipa kodi kwa wakati. Hayo yamebainishwa na Kamishina  mkuu wa  Mamlaka ya Mapato Tanzania Yusufu Mwenda  katika kikao…

9 October 2024, 8:52 pm

Tanesco Iringa yahamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia

Na Adelphina Kutika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linaadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kuhamasisha wananchi kutumia  nishati safi ya kupikia ili kuunga mkono kampeni ya kitaifa ya kupunguza utegemezi wa kuni na mkaa kama vyanzo vya nishati. Hayo…

8 October 2024, 12:11 pm

Serikali kuboresha miundombinu hifadhi ya taifa ya Ruaha

Na Joyce Buganda Serikali  imapanga kuboresha miudombinu katika hifadhi ya Taifa ya Ruaha  Mkoani Iringa ili kuongeza idadi ya watalii kufika bila kero huku wawekezaji wakishauriwa kwenda kuwekeza hifadhini hapo. Akizungumza katika kilele cha miaka 60 ya hifadhi ya taifa…

8 October 2024, 12:09 pm

Kihenzile akabidhi majiko 2000 kwa mabalozi Jimbo la Mufindi Kusini

Na Adelphina Kutika Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini na Naibu Waziri wa Uchukuzi David Mwakiposa Kihenzile amegawa majiko 2000 kwa mabalozi wa mashina wa Chama cha mapinduzi (CCM) katika Jimbo hilo ikiwa ni katika kuendeleza jitihada za kuhamasisha matumizi…

4 October 2024, 3:51 pm

Viongozi wa dini wazuru hifadhi ya Taifa Ruaha

Na Adelphina Kutika Viongozi wa dini kutoka Mkoa wa Iringa wamejizatiti kushirikiana na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha katika kutoa elimu kuhusu uhifadhi wa vyanzo vya maji na ulinzi wa mazingira. Haya yanajiri kufuatia  ziara ya viongozi October  3  2024…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.