Nuru FM

Recent posts

5 October 2022, 5:19 am

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewatoa hofu Watanzania kuhusu Ugonjwa wa Ebola uliopo nchi jirani na kuwataka waendelee kuchukua tahadhari za kujikinga dhidi ya ugonjwa huo. Waziri Ummy ameyasema hayo wakati wa ziara ya kukagua utayari wa kukabiliana na…

4 October 2022, 9:17 am

RC Dendego Amefufua Shamba La Chai Kijiji Cha Kidabaga Wilaya Kilolo

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Halima Dendego amelifufua shamba la Chai lenye hekta zaidi ya elfu 3,000 katika Kijiji cha Kidabaga Kilichopo kata ya Dabada Wilaya ya Kilolo ambalo halikufanya uzalishaji kwa zaidi ya Miaka 30.   Akiungumza katika mashamba…

26 September 2022, 1:47 pm

Wanawake wawili Manyara wakamatwa na misokoto 1220 ya bangi

Kiasi cha misokoto 1220 cha madawa ya kulevya aina ya bangi kimekamatwa hapo jana na jeshi la polisi katika kijiji cha mswakini kilichopo wilayani Babati mkoani Manyara. Akizungumza na waandishi wa habari kamanda wa polisi mkoani humo, kamishna msaidizi wa…

26 September 2022, 1:41 pm

Ahukumiwa maisha Jela kwa Kumlawiti Mtoto wa miaka 6 Iringa

MAHAKAMA ya wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha mtu mmoja Ayubu Kiyanza mwenye umri wa miaka 22 mkazi wa eneo la Don Bosco Manispaa ya Iringa kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 6 aliyekuwa akisoma darasa…

19 September 2022, 4:34 pm

Kigogo FOA Motors mbaroni akidaiwa kutapeli Sh Mil 150

JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa, linamshikilia Michael Mbata (34), mfanyabiashara mkazi wa Dar es Salaam kwa tuhuma ya kujipatia Sh Milioni 150 kwa njia ya udanganyifu. Akizungumza na wanahabari leo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi,…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.