Nuru FM
Nuru FM
24 September 2025, 10:27 am
Makala hii inaelezea Changamoto ambazo wanawake wanazipitia pindi wanapoonesha nia ya kutaka kujihusisha na masuala ya kisiasa kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa Octoba 2025. Na Hafidh Ally na Dorice Olambo Wakati Tanzania ikitarajiwa kuingia katika kinyang’anyanyiro cha kupata viongozi wapya…
24 September 2025, 9:49 am
“Vijana ndio hazina ya Leo hivyo wanapaswa kuchagua viongozi wanaowataka kwa maslahi Yao na Taifa” Alisema Mvamba Na Hafidh Ally Vijana Wilaya ya Iringa wameaswa kutokukubali kuathiriwa na taarifa za kupotosha zinazozagaa kwenye mitandao ya kijamii kwa lengo la kuwavunja…
23 September 2025, 8:30 pm
Bweni hilo litasaidia wanafunzi kupata Muda wa kusoma na kuongeza ufaulu. na Joyce Buganda Walimu wilaya ya Iringa wametakiwa kuhakikisha wanawasimamia ipasavyo wanafunzi kulinda na kutunza miundombinu ya shule. Akizungumza wakati wa ukaguzi wa mabweni katika Shule ya Sekondari William…
23 September 2025, 8:00 pm
Na Adelphina Kutika Madaktari bingwa wapatao 45 kupitia mpango wa Rais Samia Suluhu Hassan wamewasili katika Mkoa wa Iringa kwa lengo la kutoa huduma za kibingwa kwa wananchi ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakilazimika kusafiri nje ya mkoa iringa kufuata…
22 September 2025, 10:28 am
“Habari zisizo na maadili huleta taharuki katika Jamii”DC Sitta Na Adelphina Kutika Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Mhe. Benjamin Sitta, amewaagiza waandishi wa habari kutumia mitandao ya kijamii kwa kuandika na kusambaza habari zenye tija kwa jamii, na si zile…
18 September 2025, 12:23 pm
Kutumia bidhaa zinazozalishwa hapa nchini itapelekea kukuza uchumi Na Adelphina Kutika Wananchi mkoani Iringa wametakiwa kutumia bidhaa na huduma zinazozalishwa ndani, ili kukuza uchumi wa nchi na kuongeza pato la taifa. Wito huo umetolewa na mkuu wa mkoa wa Iringa…
15 September 2025, 9:42 am
Watuhumiwa hao walikuwa na line za simu zilizosajiriwa kwa vitambulisho vya watu tofauti tofauti ambazo walikuwa wakizitumia kutapeli wananchi. Na Hafidh Ally Jeshi la polisi Mkoa wa Iringa limewakamata Innocent Moshi (30), mfanyabiashara na mkazi wa Tenguru Mkoa wa Arusha…
13 September 2025, 9:04 am
Dawati hilo lina lengo la kuboresha uhusiano kati ya TRA na wafanyabiashara. Na Adelphina Kutika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Iringa imezindua Dawati Maalumu la Uwezeshaji Biashara, hatua inayolenga kuboresha mahusiano kati ya serikali na wafanyabiashara sambamba na…
11 September 2025, 9:53 am
Changamoto ya watu kujiua inapaswa kufanyiwa uchunguzi na kutatuliwa ili kupunguza vifo katika jamii. Na Godgrey Mengele Mwanaume mmoja ajulikanaye kwa jina la George Severin Manga mkazi wa Kitongoji cha Kihesa katika Kijiji cha Ilambilole amekutwa amejinyonga kwa kile kinachodhaniwa…
10 September 2025, 12:02 pm
Mtihani wa kumaliza elimu ya Msingi unafanyika kuanzia leo Septemba 10 hadi Septemba 11, 2025 Na Noela Lucas na Stephen Gerald Ikiwa wanafunzi wa Darasa la 7 Nchini wameanza kufanya mitihani ya kuhitimu elimu ya Msingi, wananchi Manispaa ya iringa…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.