Nuru FM
Nuru FM
14 August 2024, 8:20 am
Utekelezaji wa Programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto ( PJT-MMMAM) unaweza kutoa suluhisho la kudumu la changamoto inayokabili mkoa wa Iringa ya ukatili wa kijinsia, lishe, afya na malezi bora dhidi ya watoto…
13 August 2024, 10:13 am
Na Adelphina Kutika Wakazi wa kata ya Malengamakali, Jimbo la Isimani, wilaya ya Iringa, wametakiwa kujiandikisha katika daftari la mpiga kura ili waweze kushiriki zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi Mkuu mwakani. Wito huo umetolewa na Afisa…
13 August 2024, 9:58 am
Viongozi wa dini wana jukumu na nafasi kubwa katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia katika jamii. Na Mwandishi wetu Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Iringa Dr. Blaston Gavile amelitaka kanisa hili kupinga vitendo vya ukatili…
8 August 2024, 2:22 pm
Na Frank Leonard, Iringa Watia nia wa ubunge katika baadhi ya majimbo ya mkoa wa Iringa wametuhumiwa kuomba ongezeko la misiba ili kujipatia umaarufu na kuonyesha kujali jamii. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Salim Asas, alitoa taarifa hiyo…
5 August 2024, 3:26 pm
Na Frank Leonard MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Salim Asas, amewaonya wanachama wa CCM kuhusu hatari ya kukumbatia wenye fedha kunyakua uongozi, akihofia kwamba wasio nacho wanaweza kukosa fursa hata kama wana sifa bora zaidi. Asas ameahidi kuendelea…
5 August 2024, 12:20 pm
Na Frank Leonard, Mafinga MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Salim Asas amewakemea watia nia wa nafasi mbalimbali za uongozi kupitia chama hicho, akisema mbali ya kujifanyia kampeni kabla ya muda, wanajijenga wao badala ya kujenga chama. Akizungumza na…
5 August 2024, 11:19 am
Na Naida Athanas Kushuka kwa bei za bidhaa mbalimbali imetajwa kuwa sababu ya kushuka Kwa mitaji ya wafanya biashara Manispaa ya Iringa. Wakizungumza na NURU FM baadhi ya wafanya biashara wameeleza kufungwa kwa mipaka ya nchi, kupepelekea mazao hasa mchele,…
30 July 2024, 9:01 am
Na Halfan Akida Mbunge wa viti Maalum mkoa wa Iringa, (CCM), Dr. Ritta Kabati ametekeleza ahadi yake ya kusaidia vitanda 3, Mablanketi pamoja na mashuka katika zahanati ya Ng’ang’ange iliyopo wilaya ya Kilolo. Kabati amekabidhi vitanda hivyo wakati alipofanya ziara…
22 July 2024, 12:03 pm
Na Joyce Buganda Uongozi wa Halmashauri ya Mafinga Mji umewaomba Uongozi wa Bajaji katika Mji wa Mafinga kupunguza nauli ya bajaji ambayo imekuwa kero kwa wakazi wa eneo hilo. Hayo yamezungumzwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Mafinga, Mhe. Regnant …
19 July 2024, 9:51 am
Vijana wanahitaji kuandaliwa vizuri ili waelewe wanalima nini, mtaji watapata wapi, watauza wapi mazao yao. Na Naida Athanasi na Michael Mundellah Ukosefu wa elimu ya kilimo bora na mitaji imetajwa kama sababu inayopelea vijana wengi Mkoani Iringa wasijiusishe na shughuli…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.