Nuru FM

Recent posts

27 June 2023, 4:25 pm

Polisi Iringa wakabidhiwa pikipiki za kisasa 10

Na Adelphina Kutika. Jeshi la polisi mkoa wa Iringa limepokea msaada wa pikipiki 10 za kisasa zenye thamani ya shilingi milioni 55 na uzinduzi wa jengo la kantini yenye thamani ya shilingi milioni 45 kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo…

24 June 2023, 9:38 am

Mafinga Mji wagawa vifaa vya usafi

Na Sima Bingileki Halmashauri ya Mji Mafinga imekabidhi vifaa 11 vya kutunzia taka kwa uongozi wa Stendi Kuu ya mabasi Mafinga na Stendi ya Matanana lengo likiwa ni Kuimarisha Usafi wa Mazingira na uhifadhi mzuri wa taka hasa katika maeneo…

21 June 2023, 8:14 pm

Watumishi Mafinga Mji watakiwa kusoma mapato na matumizi

Na Sima Bingileki Watumishi katika Halmashauri ya Mji mafinga Mkoani Iringa wametakiwa kuweka wazi na kuwasomea wananchi mapokezi ya fedha za miradi ya maendeleo kwenye mikutano ya Kata na mbao za matangazo kwani wananchi wanahaki ya kujua mapato na matumizi.…

15 June 2023, 11:22 am

Wafanyabiashara Iringa wagoma kufungua maduka

Na Mwandishi wetu Wafanyabiashara mjini Iringa wamesitisha kutoa huduma za uuzaji wa bidhaa kwa kufunga maduka yote baada ya kuvunjwa kwa vibaraza vya nje ya maduka yao vinavyotumika kupanga bidhaa. Zoezi hilo la uvunjwaji wa vibaraza hivyo limekuja baada ya…

13 June 2023, 3:33 pm

Jamii yatakiwa kufufua ndoto za wenye ulemavu Iringa

Na Frank Leonard Wadau wa mtoto mkoani Iringa wameilaumu jamii wakisema ndiyo inayotengeneza mazingira ya watoto wenye ulemavu kutojiweza na kukosa fursa za maisha yaliyo jumuishi. Lawama hizo walizosema zinapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa ili kuleta suluhisho ya changamoto za…

12 June 2023, 11:42 am

Majina wanafunzi waliochaguliwa kidato cha tano na vyuo yatangazwa

Na mwandishi wetu Wanafunzi 188,128 waliokidhi vigezo wamechaguliwa na kupangiwa kujiunga na kidato cha tano katika shule mbalimbali nchini pamoja na vyuo vya fani mbalimbali. Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2022 yanaonesha kuwa watahiniwa 192,348 walipata ufaulu…

9 June 2023, 7:52 pm

Mafinga washinda tuzo saba mashindano UMISETA

Na Frank Leonard Halmashauri ya mji Mafinga imeshinda vikombe saba kwenye mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa wanafunzi wa Shule za Sekondari (UMISSETA) ngazi ya mkoa. Mashindano hayo yaliyofanyika katika shule ya sekondari ya JJ Mungai ya mjini…